CCM mtawafukuza CCM Wazenji wangapi ??

CCM mtawafukuza CCM Wazenji wangapi ??

Nijuavyo mimi Waziri wa Sheria Mr Aboubakar ndo CUF. Huyu mwanasheria ni mfanyakaz wa Serikali, hana chama. Kama anacho ni moyoni mwake. Lakini ni mtumishi wa Umma, ambae kisheria ni Neutral man hata kama ana chama

asante mkuu .
 
Othumani ni cuf au hujui unachofanya wewe bavicha tafuta vizuri ujue ndiyo useme siyo kuropoka unatia aibu sana.

wewe kaka kweli umelala tena umelala dorooo.
othmani ci cuf . aliekuambia kakudanganya na tena bila kutumia IQ yako.
basi kubali pia Karume cuf. Aboud jumbe cuf.
Dr Omar ali juma cuf. sokoine pia cuf. na hata maalim alikua cuf enz hizo za mwalimu??
 
Umesema kweli tupu, mzanzibari kwa jina la Zanzibar anawezafanya lolote kwa Mccm bara asifanywe lolote ila utetezi kuwa ni halali tu. Hata ni afadhari kulishwa limbwata.
 
Tatizo unafikiri kwa kutumia vidole , awe CCM au CUF hujuma inayofanywa ni moja tu ,watu wasiomjua huyu Othaman ndio wataomshangaa, wale tunaofuatilia mijadala hii kwa muda mrefu he always speak his mind which is very rarely to our modern politicians. ajiandae na lolote lile hata kwenda jela labda kwa kukutwa na documents au hata bomu nyumbani kwake. wazanzibari wenye uchungu na nchi wote wako jela, wamefikishwa mahakamani na wengine wameshafunguliwa kesi, wanatafutwa na polisi na wengine wameshafungwa jela. Ila uhuru wa kweli hupatikana kwa mapambano WaZanzibari walipambana kupata uhuru wao na wataendelea kupambana kuulinda Uhuru wao ,

Vipi Tanganyika mlipambana kupata uhuru ?? NOPE ! ndio maana mmeshikwa na butwaa .mnashangaa watu wanafanya Ikulu sehemu ya biashara namadili makubwa mkisubiri ccm iwaletee maendeleo na matunda ya uhuru.mtasubiri sana ,wametoa posho kubwa ili kuzidi kuuzika uhuru wa Mtanganyika na sasa hawataki kusikia neno Tanganyika ni maagizo kutoka kwa waganga wao wameambiwa kama tanganyika itazuka basi ndio mwisho wenu ,pingeni uweni fanyeni kila kitu lakini msikubali jina Tanganyika bora hata muite Tanzania Bara na ndio wanachokifanya miccm kila kwenye Tanganyika wanaita Tanzania bara.
Nina hakika una nasaba na waarabu.. pole.
Kupigania uhuru unakokuongelea ni kupi?? kule kumnyenyekea na kumsujudu sultani???? uhuru wa Zanzibar ulipatikana kwa MAPINDUZI MATAKATIFU ambayo kwa kiasi kikubwa yalifanikishwa na watanzania bara. Mapinduzi ambayo hata leo hamtaki kuyakubali(mnayaita kharam). hatujali mko wangapi na mna ndevu kiasi gani.. mtaishi kwa matakwa ya wenye nguvu(Blacks)na tutalisimamia hilo milele. Hutaki..... Hamia OMAN kwa nduguzo
 
Eti hawataki kufanyakaz zaid ya taarab, ww kenge sn.ebu jiulize dar wazenj maisha yao yakije?znz km c ccm ingekuwa mbali sn kumaendeleo.hata ukienda zenj vijana weng wanamiliki mijengo yao pamoja na life kuwa ngumu.jiulize ww unaepanga chumba kimoja dar una nn zaid ya pombe?acha ubaguz wa kijinga

Kumaendeleo ndio nini ndugu? hiyo ni dalili tosha umezoea sana kutamka hizo herufi nne za mwanzo
 
Watanganyika hawana uwezo wa kuwaambia CCM no. Kama nimekosea niambiwe nini Ambacho wamewahi kukisimamia. Mfano sasa wameambiwa hakuna kusema Tanganyika na kweli wamefyata wanaitwa Tanzania bara. Wakaambiwa hakuna serikali ya Tanganyika wamefyata. Hayo huwezifanya Zanzibar bwana. Watanganyika ni kama dadapoa, wewe andaa pochi kisha mpeleke na mfanye chochote hana shida.
 
Nijuavyo mimi Waziri wa Sheria Mr Aboubakar ndo CUF. Huyu mwanasheria ni mfanyakaz wa Serikali, hana chama. Kama anacho ni moyoni mwake. Lakini ni mtumishi wa Umma, ambae kisheria ni Neutral man hata kama ana chama

Huu ndio ukweli.
 
chukuweni hatua kwa pamoja. hamna cha kupoteza.

Kila Mzanzibari alie CCM ambae ni kiongozi anaeonekana kwenda kinyume na matakwa ya CCM mwisho wake huwa mbaya na huvuliwa nyadhifa zote za uongozi na kutupwa kama mzoga na huonekana si lolote si chochote katika jamii ya wanaCCM. Na hili zaidi hutendewa WaZanzibari tu ,angalia Akina Seif na wenziwe wakati wa Nyerere walitimuliwa ,ni juzi tu Mansor Yousef nae katimulia ,hata haukujatulia Yule Mwanasheria Mkuu nae anaundiwa zengwe afukuzwe habari zipo huku Othman Masoud kufukuzwa nafasi ya MMWZ na Kupewa Mkusa Sepetu..Bado iko siri - Mzalendo.net

Mbona huku Tanganyika hakuna afukuzwae kuna mambo kibao ,hatusikii Mtanganyika kufukuzwa lile la Mwigulu kama angelisema Mzanzibar ndani ya bunge la Katiba bai ingelikuwa ameshapata la kumpata ,mbali ya viongozi wakuu waliohusishwa na mambo mbalimbali ikiwemo rushwa na mikataba mibovu kama wangekuwa wazenji wangelikwisha fukuzwa chamani na kutolewa ndani ya serikali .ila tunawaona akina Lowasa wavijisenti. wanapeta ndani ya CCM mbali waliojitangaza kugombea uraisi ndani ya CCM ,kama wangelikuwa wazenji basi wangekwishatimuliwa.
 
MACCM wa hukuTanganyika wanajuana kwa uchafu wao. Si unakumbuka walipotaka kufukuzwa akina fisadi Lowassa, fisadi Chenge na fisadi Rozam "Sasa tunalivua gamba" wakatoa tishio kupitia kwa wapambe wao kwamba kama watafukuzwa basi wataweka hadharani uchafu wa DHAIFU wa yale aliyoyafanya il kuingia Ikulu 2005. Tishio hili likasababisha gamba lisivuliwe tena. Kuna sababu na Wazenj kutoa vitisho kama hivi kama wanataki kubaki chama hiki cha wahuni vinginevyo haihusu kitu kujihusisha na chama hiki cha wahuni, magaidi, wauza unga, mafisadi na majangili.

Back
Top Bottom