Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Sasa nimeamini mkakati wa kukiua chama cha CUF unaandaliwa Na CCM.CCM imekuwa inahangaika usiku Na mchana kupitia viongozi mbalimbali wakiongozwa Na Msajili wa Vyama Na Tume ya Uchaguzi.Juhudi hizo tumeziona Jana Bungeni wakati wa Uchaguzi.Ninachoweza kuwaambia CCM watafanikiwa kuiua CUF lakini wale wananchi wataka mageuzi hawawezi kuwaua kamwe kwani njama za CCM wanazijua Na CCM sijui Kufa Kwa CUF itawapata wale wanachama wa CUF?Ni aibu Kwa CCM kuogopa Upinzani.