mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,169
- 1,073
Sijawahi kuwa mwanachama wa chama cha siasa..
Nilitamani sana mabadiriko ktk taifa langu..
CCM ya kabla ya JPM sikuipenda sababu ya kunyong'onyea ktk dira..
JPM ameonyesha nia ya dhati ya kuleta mabadiriko niliodhani ni ndoto ktk taifa..
Jpm anakwenda kuijenga upya CCM {kuifumua,kuitengeneza,kuikarabati ..
CCM ya walalahoi..wakulima,wafanyakazi,wanyonge..maskini..wasio nacho ..Wanafunzi...
Sina budi kuwa mwanachama wa chama kinachojenga nchi..
Tuliimba nyakati zile wakati wa mfumo wa chama kimoja tuliimba
{####Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi
$$$$$$ Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi ####