CCM Mpya Ndio hii Hapa Mkono Koma

CCM Mpya Ndio hii Hapa Mkono Koma

Piga ua lkn Jokate ni Mwanamke mzuri sijawahi ona, huyu Demu anafit kila maana ya Demu mzuri!
Mwanamke ni sawa na gari , hubeba mzigo sawa na tani , likizidisha linachoka linakongoroka - Dudu baya .

Mytake - hawa mademu wa uvccm usiwaangalie kwa mikorogo ya usoni , utaumia vibaya sana ! Naishia hapa kwa leo .
 
Dada ameshazeeka tayari.Yaani kwa msichana kuwa CCM ni sawa na MSICHANA kuolewa na MZEE lazima naye azeeke haraka sana.DADA yetu kwisha habari yake.Daaaaaaaaah Dunia hii usipojitambua ni hatari sana.
 
Mwanamke ni sawa na gari , hubeba mzigo sawa na tani , likizidisha linachoka linakongoroka - Dudu baya .

Mytake - hawa mademu wa uvccm usiwaangalie kwa mikorogo ya usoni , utaumia vibaya sana ! Naishia hapa kwa leo .


Who cares? Cha muhimu demu ni mzuri kupita maelezo, mengine yoote maneno ya mkosaji tu!
 
Yani hapo ni kumchukua tu baada ya kikao,unaenda nae morena au nashera!!
 
Jamaa ameamua kumbambia kiaina hapo!
Hashim alipita mazima hapo lkn

Ova
 
Chadema kilichobaki ni kutafuta habari zisizo na mashiko haya tupia na ile ya wema na mbowe ziro distance!
Naona Mbowe mpo naye huko vp yupo ziro distance na mwenyekiti wako kwenye swimming pool?
 
Back
Top Bottom