CCM Mpya Ndio hii Hapa Mkono Koma

CCM Mpya Ndio hii Hapa Mkono Koma

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
CCM Mpya na Bao La Mkono Umelala Mahali Pake
ccm Mpya.jpg
 
Com raha nakuomba uwapige tena picha hao wawili baada ya mwezi uone utofauti. Mwangalie huyo queen wako Mashavu yalivyomtoka kwasababu anakula za bwerere kutoka kwa Bashite. Mtaimba imba sana ccm nambari wani
kweli hata watanzania wanajua ccm ni number one kwenye watu wasiojulikana
 
Piga ua lkn Jokate ni Mwanamke mzuri sijawahi ona, huyu Demu anafit kila maana ya Demu mzuri!
Samahanin sana wana Jf. Mwanamke mzuri kama ujatembea nae ila ukitembea nae hana uzuri tena. Wahenga waliona mbali sana.
 
Samahanin sana wana Jf. Mwanamke mzuri kama ujatembea nae ila ukitembea nae hana uzuri tena. Wahenga waliona mbali sana.
Aaaah wapiiiiiii sio kweeeeeeli!

Ukibisha muuulize Robert kuhusu Grace atakwambia alitaka kumuhonga mpaka Nchi japo kailalia ile Mbunnye tangu 1996
 
Back
Top Bottom