CCM-MPYA chama kipya tawala Tanzania

CCM haiwezi kua mpya kamwe... Watajitahidi kuongeza juhudi kuficha maovu tu
 
Kama CCM-MPYA haijapitia taratibu za usajiri wa vyama vya siasa basi ni hatari sana. Lakini kama CCM-MPYA haijafanyiwa usajiri wa vyama vya siasa basi hiyo bado ni CCM tu, ila toka kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa 2015 mgombea Urais wa CCM, Rais Dr Magufuli alikuwa ni mgombea binafsi (independent candidate) na slogan kubwa ilikuwa 'Magufuli for change' (M4C) na nembo pamoja na jina la CCM vilikuwa na font ndogo.

mc4.jpg

tmp_9158-m706153208-jpg.337351

Magufuli-620x308.jpg


Sources: Via Google
Shangaaa Maguful anatafuta usajili wa acasia wakati ccm mpya haina usajili
 
CCM wanajua imechokwa ....hivyo wanafanya mabadiliko ili kuendana na wakati ....wanajua kama wakiendelea na mazoea ndani ya miaka 20 kuna mwendawazimu atawachomoa ....wanajiumba upya kwa malengo ya miaka 50 mbele .....upinzani bwetekeni tu ....
 
Sasa hivi ni wazi kuwa Tanzania inatawaliwa na chama kipya kiitwacho ,CCM-MPYA, hii ni baada ya kuwa wazi kuwa chama kiliitawala nchi hiyo hadi mwaka 2017 kilipoondolewa baada ya mapinduzi baridi yaliohusisha kuwaondoa wale viongozi wajulikanao kama "CCM ina wenyewe" kwenye mkutano mkuu wa chama uliofanyika Dodoma
Mwenyekiti wa CCM alimkabidhi rasmi mwenyekiti wa CCM.MPYA ,JPM
BADO HAIJAJULIKANA KIREFU CHA JINA CCM MPYA

kuna kila dalili uongozi wa ccm mpya unaendelea kujiimarusha ambayo hasa itaongozwa na makada wageni ,na kazi ya kupanga safu iko chini ya mwenyekiti akisaidiwa na kijana wale aliyemsajili aliyekua na mrengo wa upinzani na uwanaharakati akishauriwa kwa karibu na wazeee kama Butiku na wengine

Bado haijajulikana hatima ya viongozi wa kundi lilokuwa linatawala la CCM,itakuwa ipi na watachukua hatua gani kujibu mapigo.

Vyama vya upinzani.vinafuatilia kwa karibu maendeleo ya mgawanyiko huoo uliozaa CCM MPYA.
ccm mpya inatafuta mianya ya kupiga hela, nao wanahangaika na makanikia sio dhahabu.
 
Back
Top Bottom