Ulitaka kusema "Hana" ?Yeye mwenyewe Ana mvuto
Ova
Kwani ndege zinabeba wanaume tu ili wavutiwe na hao wahudumu wanawake? Ndege Zina wahudumu wanaume pia haya huyo mwilima atueleze vigezo vya mhudumu mrembo wa kiume aweje?Biashara ni mvuto. Huyo Msukuma aliemkatisha hana hoja, kama umezaa mfupi si tatizo, ila ajira hiyo inahitaji warefu wenye mvuto, hivyo hatuwezi kulazimisha kuajiri wasio na mvuto.
joto la jiwe what can you say about this article?