Mkuu, kuna fedha za mfuko wa jimbo ambazo zinasimamiwa na mbunge. Je wanazitumiaje?Nawashauri wabunge wote wanaonyimwa miradi ya maendeleo kwa hila wawaeleze wananchi wao kinagaubaga na ikibidi wawatake wasilipe kodi, full stop. Kodi wanalipa wananchi wote na sio wanachama wa ccm tu.Tena ni lazima watoe hela ya maendeleo na wala sio ombi vinginevyo hakuna kulipa kodi.
Kwani hao Wabunge wa upinzani si walisema kuwa watawaletea maendeleo wananchi? Inakuwaje wanaiangukia CCM?
Waulize hao Wabunge wako fedha wanazopewa za mfuko wa Jimbo wanazitumiajeKuwa muelewa. kama hujui jambo ni bora ukauliza kwanza. maendeleo huletwa na KODI na kodi hizi zinakusanywa na serikali ya CCM. kazi ya mbunge ni kusimamia matumizi ya kodi za WANANCHI. kitendo cha serikali kukusanya kodi kutoka kwa wananchi wote (bila ubaguzi) na kuzitumia KIBAGUZI na kifisadi litakizika chama chenu na serikali ya mnamo Oktoba. kama serikali haitaki kupeleka maendeleo kwenye majimbo ya UKAWA, basi iwaachie UKAWA wakusanye kwenye majimbo yao na kuzitumia kwenye majimbo husika. je, wewe unaona serikali iko fair katika hili?
poyoyoKwani hao Wabunge wa upinzani si walisema kuwa watawaletea maendeleo wananchi? Inakuwaje wanaiangukia CCM?
Msituchanganye bana. Mnyika alisema kuwa ataleta maji Ubungo. Wala hakusema kuwa ataishirikisha serikali ya CCM kutekeleza hilo. Kama kazi imewashinda rudisheni majimbo kwa CCM
Kwani hao Wabunge wa upinzani si walisema kuwa watawaletea maendeleo wananchi? Inakuwaje wanaiangukia CCM?
Tpaul kubishana na kizibo kama hiki ni kujivunjia heshima! Lina macho lakini halioni! zezeta kabisa hiliWaulize hao Wabunge wako fedha wanazopewa za mfuko wa Jimbo wanazitumiaje
Mkuu, kuna fedha za mfuko wa jimbo ambazo zinasimamiwa na mbunge. Je wanazitumiaje?
Msituchanganye bana. Mnyika alisema kuwa ataleta maji Ubungo. Wala hakusema kuwa ataishirikisha serikali ya CCM kutekeleza hilo. Kama kazi imewashinda rudisheni majimbo kwa CCM
Mkuu, tutajie basi matumizi ya fedha za mfuko wa JimboFedha za mfuko wa jimbo ndizo zinajenga barabara, miundombinu ya maji, kujenga maabara na kila kitu? kama kazi yake ni hiyo, sasa kuna haja gani ya wananchi kuchangishwa fedha za maabara? ama kweli humu jf kuna mimburura mingi sana. wakuu BAK lusungo Mamndenyi, Elli, et al hebu piteni huku mnisaidie kutoa elimu ya uraia. kuna watu huku hawajui jinsi serikali inavyopata mapato yake na matumizi yake.
Fedha za mfuko wa jimbo ndizo zinajenga barabara, miundombinu ya maji, kujenga maabara na kila kitu? kama kazi yake ni hiyo, sasa kuna haja gani ya wananchi kuchangishwa fedha za maabara? ama kweli humu jf kuna mimburura mingi sana. wakuu BAK lusungo Mamndenyi, Elli, et al hebu piteni huku mnisaidie kutoa elimu ya uraia. kuna watu huku hawajui jinsi serikali inavyopata mapato yake na matumizi yake.
poyoyo
Waulize hao Wabunge wako fedha wanazopewa za mfuko wa Jimbo wanazitumiaje
mbugila!