CCM mnamvuruga Rais Magufuli

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Nimefatilia kwa ukaribu kila siku kuna kitu kipya ambacho kinatokea kwa makusudi na sikwa bahati mbaya!

Hasa pale Rais anapombana na wezi wanchii nakumpunguzia machungu mwananchi, lakini wana CCM wao hili hawalioni! bila yakuwa na aibu wanaenda kumuomba hawaongezee pesa ya mikopo ya magari!!Kweli???? kwani wanataka waishi kama wafalume kwenye nchi iliyojaa umasikini wakutupwa!Kwelii CCM mmezoea vibaya.

Hapo hapo wao ndo wanausika katika makashfa yote mazito ya ufisadi!! je hamuoni kama mnamvuruga Rais Magufuli?? Kuna kila haja ya Rais Magufuli kuwapuuza na kufanya yale anayo yaona yanafaa kwa taifa bila ya kujali nani nani!.
 
Back
Top Bottom