CCM: Mnaitia aibu Tanzania

Walisema serikali tatu ni kuongeza gharama leo wanataka kuongeza majimbo 40. wakati Warioba kwenye tume yake walileta mapendekezo wabunge wasizidi 70
 
[QUOTE= kwao serikali tatu ni gharama lakini kuongeza majimbo 40 sio gharama. kweli hawa wamechoka.
 
Mkuu nafikiri hili si jambo dogo, watawala hawawezi kulizungumzia hili maana lina maslahi upande flani, sasa nashauri tuanzishe vuguvugu la kukataa huu ujinga kwa kukusanya saini za watanzania ikibidi hata kupinga mahakamani, pia nafikiri jaji Lubuva tunaweza kumshitaki kwa kaunzisha majimbo mapya kwa maslahi ya chama fulani na sio maslahi ya taifa.
 

badala ya kuanzisha barabara za kuunganisha nchi wao wanaanzisha majimbo ya kutenganisha nchi.
USHAURI WA UBWETE:-
WAKUBALI TU WAMESHINDWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…