kwa staili hii nazidi kupoteza imani na wanasiasa.yaani wameona kipaumbele ni kuongeza majimbo kiliko changamoto zinazotukabili kama taifa...nimeamini ule msemo wa kale usemao mbwa anajifukuzia mwenyewe..
hii yak uongeza majimbo me naona kama ni mchezo wa kiugiza tu.. Maana ccm wanadhani kuwa hayo wayoongeza ndio yatawaokoa maskiniccm kumbe ndio wanawaongezea wapinzani idadi yao itakuwa kubwa na watakuwa na nguvu kubwa mjengoni. Hii ccm inakula kwao kama hawajajitambua
asilimia kubwa ya pesa ya Tanzania huwa inaishia kuwalipa viongozi wakati huo kuna watu wakufa na njaa
hii yak uongeza majimbo me naona kama ni mchezo wa kiugiza tu.. Maana ccm wanadhani kuwa hayo wayoongeza ndio yatawaokoa maskiniccm kumbe ndio wanawaongezea wapinzani idadi yao itakuwa kubwa na watakuwa na nguvu kubwa mjengoni. Hii ccm inakula kwao kama hawajajitambua
fanya maamuzi magumu kwa faida ya kizazi chako kijacho. Piga picha life unayoishi wewe sasa hivi ni iko hivi jee kizazi chako kijacho kitakuwa katika hali gani endapo mpango wa misha ni huu huu???
usihofu. wanawaongezea upinzani majimbo
Tatizo wanadanganyana sana.Hasa JK naona anadanganywa kweli kweli sijui kwa sababu gani?Huku kwetu kuna mtu likataa kumpa lift mtu sababu alivaa Jezi za CCM kofia na T-shirt.Sielewi kama wanajua impact ya maovu yao kwenye TAIFA letu kwa sasa......Sina uhakika kwa kweli.
me nawachukia mgambo wao aka police wananisimamisha nasimama afu wananiambia naomba lift huwa nawajibu waende PPF TOWER kuna lift 4 za kumwaga alafu natoka nduki:msela:
Mtu na mmewe nyie wapuuzi wakubwa, mnadanganyana tu hapo, hahahaha endeleeni kuweweseka, mwaka huu hampati kitu tena kama kawaida, wembe ni ule uleMwala you are not serious...........Ah!!!!!!!Umenifanya nicheke kwa SAUTI............Ninakoishi nje kidogo ya mji watu wa kawaida wamewapiga mkwara wake zao kuvaa na au kupokea Khanga,T-shirt,Vitambaa au Jezi tu......
Ni balaa tunakoenda sina uhakika kama watawala wanaelewa.........Huko vijini mpaka wanachama wa CCM wanasema wavipigia KURA vyama vya upinzani kwani wamechoka............Na wanaona hata aibu kuvaa JEZI zao........
Muongo mkubwa wewe mchumia tumbo ushndwe na ulegee, huyo uliamua tu kutompa lift lkn sio kwa madai yako hayo ya kipuuzi.Tatizo wanadanganyana sana.Hasa JK naona anadanganywa kweli kweli sijui kwa sababu gani?Huku kwetu kuna mtu likataa kumpa lift mtu sababu alivaa Jezi za CCM kofia na T-shirt.Sielewi kama wanajua impact ya maovu yao kwenye TAIFA letu kwa sasa......Sina uhakika kwa kweli.
Mwala you are not serious...........Ah!!!!!!!Umenifanya nicheke kwa SAUTI............Ninakoishi nje kidogo ya mji watu wa kawaida wamewapiga mkwara wake zao kuvaa na au kupokea Khanga,T-shirt,Vitambaa au Jezi tu......
Ni balaa tunakoenda sina uhakika kama watawala wanaelewa.........Huko vijini mpaka wanachama wa CCM wanasema wavipigia KURA vyama vya upinzani kwani wamechoka............Na wanaona hata aibu kuvaa JEZI zao........
Nchi yetu inaangamia kwa wananchi kukosa maarifa.Kwa mambo maovu wayafanyayo viongozi wetu wasomi,wanaharakati wamekaa kimya,wanaolalamika hawachukui hatua,wanaochukua hatua wakihongwa kidogo wanalegea...Amini nawaambia,ipo siku wajukuu na vitukuu vyetu watafukua makaburi yetu ili wajiridhishe na ukubwa wa mbongo zetu!!
ukiona mwananchi kavaa jezi ya kijani ujue hiyo ndio suti yake hana nyingine
View attachment 255490View attachment 255491