CCM mmeshindwa kuboresha maisha ya vijana wa Lumumba mtawezaje maisha bora kwa Watanzania?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,846
5,057
CCM imekuwa ikijinasibu kuwa ndio Chama pekee kinachowajali wananchi na kwamba maisha bora kwa wananchi yatapatikana kupitia uongozi wa Chama hicho. cha kushangaza wapo vijana ambao (mimi hupenda kuwaita waganga njaa) CCM inawatumia kwa kueneza propaganda za kihuni lakini mwisho wa siku huambulia buku saba. kiwango hiki hakiongezeki miaka nenda rudi licha ya vijana hawa kulalamika ikiwemo kufikisha malalamiko yao kwa mwenyekiti wa Chama na yeye kuyafikisha kwa RAIS kwa namna ya pekee tena mbele ya hadhara.CCM mtawezaje kuboresha maisha ya watanzania wakati hawa vijana uchwara 46 mmeshindwa kuboresha maisha yao?
 
Back
Top Bottom