CCM mkiitumia JamiiForums vizuri mtanufaika

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
392
Reaction score
383
Hii dhana ya CCM na Serikali yake kuuona huu mtandao ni hatari kwao ni ya kipuuzi Sana. CCM na Serikali mnapaswa muelewe jamii forum ina watu wenye IQ kubwa kuliko vile mnavyo dhani. JamiiForums sio kijiwe cha kahawa.

Huyu Musiba atashindwa hawezi kufanikisha ujinga wake dhidi ya JamiiForums. JamiiForums imeshaibua mambo mengi ya kuisaidia nchi.

JamiiForums si kijiwe cha kulazimishwa kumsifia mtu, humu tuna mawazo huru. Chonde Chonde CCM mkanyeni mtu wenu.

Kuendelea kuifatilia JamiiForums mnapoteza muda.
 
CCM ni chama makini sana atapuuzwa tuu uyo jamaa kama wengine
 
IMG-20190712-WA0004.jpg
 
Hii dhana ya CCM na serikali yake kuuona huu mtandao ni hatari kwao ni ya kipuuzi Sana.ccm na serikali mnapaswa muelewe jamii forum ina watu wenye IQ kubwa kuliko vile mnavyo dhani. Jamii forum siyo kijiwe cha kahawa. Huyu musiba atashindwa hawezi kufanikisha ujinga wake dhidi ya jamii forum. Jamii forum imeshaibua mambo mengi ya kuisaidia nchi. Jamii forum si kijiwe cha kulazimishwa kumsifia mtu, humu tuna mawazo huru. Chonde Chonde CCM mkanyeni mtu wenu.kuendelea kuifatilia jamii forum mnapoteza muda.
washua kibao wapo hapa na fake id, hata anayemtuma musiba yupo
 
Kuna dalili zote JF siasa ni tawi la Chadema .
Hii dhana ya CCM na serikali yake kuuona huu mtandao ni hatari kwao ni ya kipuuzi Sana.ccm na serikali mnapaswa muelewe jamii forum ina watu wenye IQ kubwa kuliko vile mnavyo dhani. Jamii forum siyo kijiwe cha kahawa. Huyu musiba atashindwa hawezi kufanikisha ujinga wake dhidi ya jamii forum. Jamii forum imeshaibua mambo mengi ya kuisaidia nchi. Jamii forum si kijiwe cha kulazimishwa kumsifia mtu, humu tuna mawazo huru. Chonde Chonde CCM mkanyeni mtu wenu.kuendelea kuifatilia jamii forum mnapoteza muda.
 
Hii dhana ya CCM na serikali yake kuuona huu mtandao ni hatari kwao ni ya kipuuzi Sana.ccm na serikali mnapaswa muelewe jamii forum ina watu wenye IQ kubwa kuliko vile mnavyo dhani. Jamii forum siyo kijiwe cha kahawa. Huyu musiba atashindwa hawezi kufanikisha ujinga wake dhidi ya jamii forum. Jamii forum imeshaibua mambo mengi ya kuisaidia nchi. Jamii forum si kijiwe cha kulazimishwa kumsifia mtu, humu tuna mawazo huru. Chonde Chonde CCM mkanyeni mtu wenu.kuendelea kuifatilia jamii forum mnapoteza muda.
Usiwastue hao wahuni.Waache wakaze shingo zao tu kama wanameza mapera mabichi!😂😂😂😂😂
 
Kuizima jf ni kuwasha moto mwingine wa watu kukosa pa kutolea mapovu yao ndipo inakuja dhana ya maandamano.
 
Jf ni mahala ambapo watu Wana info za kutosha

Ova
Mkuu, wewe sikupingi hata kidogo.
===
Siku nyingi zilizopita, niliandika hapa JF kuwa, kwa mtu mwenye utashi wa kutumia busara zake, hekima yake, na kweli kweli anapenda utengamano ndani ya jamii, hawezi kuwaza kuifunga JF. Bado nina msimamo huo.
 
Ndo maana mimi nislishaachaga kufuatilia mambo ya upande wa huku au wa kule...najitafutiaga tu ugali...nikshiba nalala
 
Back
Top Bottom