MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,590
- 11,811
SafiIsrael na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?
Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.
He gave the death sentence to thousands of protesters.
Umeuliza swali kwamba ni wapi huwa u.s anapata Taarifa... Swali zuri acha nikujibu kwa maoni yangu... Kule Iran kwenye safi za viongozi wa juu na wale wanaopenda hao viongozi tayari Kuna mapandikizi tayari kwa hisani ya Israel ambao automatically hawafurahishwi na mambo yanavyoenda na wapo kwenye payroll za CIA na Mossad...Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?
Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.
He gave the death sentence to thousands of protesters.
💯Ccm ni takataka hata Tff wakiwa seriously wanaiangusha
Mbaya sana hii..
View: https://x.com/NiohBerg/status/2027665864401604732
Wairan wanashangialia na Kujirekodi baada ya Israel/US kuishambulia Iran
Kwao wao ccm inchi ni mali yao na watoto wao, sisi wengine wotè ni low class inayotakiwa kutekwa ,kufirwa, kuuawa, kwa kulalamikia utendaji usioridhisha wa serikaliIsrael na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?
Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.
He gave the death sentence to thousands of protesters.
Kwao wao ccm inchi ni mali yao na watoto wao, sisi wengine wotè ni low class inayotakiwa kutekwa ,kufirwa, kuuawa, kwa kulalamikia utendaji usioridhisha wa serikali
nonsenseIsrael na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?
Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.
He gave the death sentence to thousands of protesters.
Kenge sii mwanafunzi mziri hadi fuvu la kichawa chake libomoke!Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa?
Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana
Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was eliminated.
He gave the death sentence to thousands of protesters.
Fasta SANA KOSA wanalo FANYA nikuwaweka MACHAWA serikalini hili ni KOSA ambalo, Israel Leo analifurahia kuwaadhibu anavotaka,Ccm ni takataka hata Tff wakiwa seriously wanaiangusha