CCM Miaka 35 yakuwa madarakani Bado mwananchi hajui atakula nini kesho??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Miaka 35 yakuwa madarakani Bado mwananchi hajui atakula nini kesho???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KakaKiiza, May 16, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Nidhahili nikiwa naona kuzaliwa kwa CCM ni takribani miaka 30 na ushehe hivi tangu kiko Madarakani!!
  Ajabu wananchi wake wamekata tamaa!!Je nikwanini wananchi wameendelea kusota kwenye Dimbwi la umasikini??Jibu?
  Hata Mwenyekiti wake,Rais wa Jamuhuri ya Tanzania ameshindwa kuwambia watanzania kwa nini ni masikini baada yayeye pikujiuliza swali kama hilo!!
  • CCM imekuwa na kiburi tangu imekuwa madarakani kwamakusudi mazima hili hali ikijua wananchi wanahitaji kuvuka hapa walipo!
  • CCM Imekuwa na viongozi miungu wanaopenda kuabdiwa wasiojali wananchi wao!
  • CCM Imekuwa naviongozi wasio ogopa umma wa watanzania nakujifanyia kile wanachojua wenyewe kwa kuliingiza Taifa kwenye mzigo wa madeni,Mikataba isiyokuwa na maslahi kwa taifa mfano,IPTL,RICHIMOND,DOWANS,TRL,CITY WATER,BUZWAGI,KIWILA,BULYANULU,ATC,TTCL,TICS,NETGROUP,EPA,RADA,MAGARI YA JESHI,Zote hizi nikashifa za nchii zilizosababishwa na watumishi wa serikali hii ya CCM!Lakini niwangapi wamewajibishwa!
  • CCM wanaanza kurithishana madaraka hili wasije wakawajibishwa pindi akiingia mtu kama Rais Wa Zambia Hayati ReV Mwanawasa!!
  • CCM Imevurugwa na vijana wapenda umaarufu na urho wa madaraka!
  • CCM imesababisha watoto wamitaani waongezeke wakati kuna NGO's Zinazoshughulikia watoto zaidi ya 50 nanyingi zinapata funds kubwa kutoka kwa wafadhili lakini CCM inakosa (vision)kujua nijinsi gani ya kuzisimamia!!
  • CCM imezidi kuongeza Korongo la aliyenacho na asiyekuwa nacho!
  • CCM msipowajibika nilazima hanguko lenu haliko mbali!!Nazaidi mtamwaga Damu kwakushindwa kukubali kile kitakachokuwa mbele yenu!
  • CCM mumeongeza chuki zaidi kwa masikini dhidi ya matajiri!
  • CCM msimlaumu yoyote yule kwani hata aje OBAMA kwani kinachotakiwa nikufumba macho na kukata mizizi ukianzia matawini sirahisi kuuangusha mbuyu!!
  • CCM hamna dira Dira za vitabuni hazimsaidii mwananchi kama ikiwezekana fuateni falsafa ya Hayati Shekh Abeid Karume!!!
  • CCM Mnakoenda msimtafute mchawi CHADEMA nilazima itimize wajibu wake kama chama kikuu cha upinzani nilazima kifanye maandamano kuwambia serikali yao iliyopo madarakani inavyofanya ndivyosivyo!!
  • CCM kwa staili hii Kila mwaka mtajivua magamba na hakuna kipya!
  • CCM Imechoka kufikiri kwani inawezakusema inawafahamu watuhumiwa wa EPA,Rushwa lakini ikashindwa kuwawajibisha!??Ikashikwa kigugumizi juu ya meremeta,Kagoda!
  Namalizia wananchi ndiyo wenye maamzi ninani wakuwatawala nasiyo kuwatawala baada yakuwamwagia maji yenye upupu!
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Imetulia sana
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hawa watu mimi sijui nikwanini wakati nichama kilikuwa kinaheshimiwa Barani Africa!Kinapoteza radha mwelekeo!!Kimebaki na ngao moja Dola umma ukichoka watu hawasikii cha Dola!
   
Loading...