CCM mbele kwa mbele

Huyo ndio mtanzania anae fikiria mabadiliko ndani ya lowasa. Very sorry. Amka acha utoto. Tanzania inakuhitaji na vizazi vyake. Lowasa hafai.

We jamaa empty kichwani kweli sasa huyo asiyejua rais wa sadam alikuwa wa wapi? Alaf ndio nmpe kura yangu
 

Mshana Jr, you have nailed it.

Bravo.

Tiba
 
Wanaoipigia chapuo CCM watakuwa sio wazima,

CC:Ritz & the like
 
Trust me pata juice ya ukwaju au mbilimbi utafunguliwa huko ulikofungwa, mabadiliko ni sasa kupitia UKAWA, nakushauri tena Tujadili mifumo tuachane na watu

Ambiere unanifuraishaga sana. Hakuna namna lowasa ni ikulu saa4 asubuhi.
 
Kweli mbele kwa mbele

Cute b hii picha inasambaa kwa kasi mno na huku walipo ingia wana propaganda Wa chama cha magamba siko

M4c itawatafuna kuna picha moja nineiona magufuli kawekewa sura na nywele za lowasa na wigi jeupe

Wanamwita john pombe lowasa
 
Wanatumikia matumbo yao... Poor 💩 ones

Hicho ni kivuli chako unatembea nacho. Hivi unaweza kumnyanyua hata mtu mmoja Chadema ukamwangalia ukasema anatumia kichwa na anachukia ufisadi. Nionyeshe mmoja chadema ambae ni msafi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…