Huyo lowasa kwenye katiba akiwa Ccm ndio wa kwanza alikuwa anataka tena kingekuwamo cha mgombea binafsi msingemwona Chadema. Kwa kuwa walikataa katiba na hakimo pumbavu limekuja kuvuruga upinzani. Nilikuwa mfungwa ndani ya makamanda ila alipoingia fisadi papa lowasa. No.
Mimi ni mtanzania halisi lakini sina akili za kiccm,
Lowasa kwako mbaya sisi kwetu Salama salmini
Mtaji wenu Wa wajinga wame badilika
Ccm kinaendeshwa na wajanja wachache ila wana akili ndogo na ukiangalia wengi Wa wafuasi wake wengi ni wajinga wanapenda zile taarabu zenu za TOT
# hapa ni kazi damuni
Hahahaaa nilijua huu ndio mwisho wake 'hapa kazi tu ccm mbere kwa mbere.....hakuna dira hakuna vigezo hakuna mipango, hakuna takwimu hakuna usimamizi, hakuna heshima, hakuna hekima,hakuna utaifa, hakuna uzalendo,hakuna chochote ni kazi tu na mbele kwa mbele...
Asante sana.
Kama lowasa mwizi na sisi katuiba.
Kumpigia kura ni lazma.
Nimemwambia aniambie ubaya Wa lowasa anabaki kumwaga mapovu tu hata simuelewi taifa likishajaa zombies ndo linavokuwaga
We want to see the other side of the coin ccm wanajifanya wao ndo wenye hati miliki ya uongozi Wa ili taifa
Mimi hasa ninachotaka Vasco da gama atemeshwe ela alizopiga
Lowasaaaaaa mabadilikoooooo.
Raisi ni lowasa sasa kama vepee hama nchi
Asante sana.
Kama lowasa mwizi na sisi katuiba.
Kumpigia kura ni lazma.
Kazi gani pengine ukute wew ni jobless.
Lowasaaaaaaaaa mabadilikooooi
Hahahaaaa mi ccm ni mijinga. Eti magufuli ana sema serekali yake itakuwa ya viwanda na wakati..
Ccm ni ileile.
Sera ni zile zile
Hakijabadilika chochote
Katumwa huyo hahahaaa ila atakuwa hajalipwa bado ndio maana hata kujielezea ni tabuu.
Mkuu kagua kichinjia kama kipo salama October 25 kabla ya saa 4 kura zetu kwa lowasa mimi nitarudi nyumban kupik weew utabaki unalinda kura. Na vile matokeo yanabandikwa kwenye kila kituo watajutraaaa
Iyo ya matokea kubandikwa kila kituo imewadiscourage sana
Sisi huku mtaani kwetu wote ukawa ccm hakuna na hata kama wapo najua hawata vote
Team lowasa imesambaa Tanzania mzima ikishirikiana na bavicha so let them watch the movie wanataka kulinganisha akili za bagamoyo na akili za Kinondoni
Ratiba yangu ya oktoba 25:
1. Naamka mapema sana
2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira
3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne
4.naangalia picha ya mwangosi
5.nakunywa tena juice ya ukwaju
6.nachukua kikatio
7.nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili nyeusi)
8.nachukua mathematical set (mkebe) mpya
9.narudia tena hatua ya 3 hadi 5
10.naelekea machinjioni
Ratiba yangu ya oktoba 25:
1. Naamka mapema sana
2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira
3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne
4.naangalia picha ya mwangosi
5.nakunywa tena juice ya ukwaju
6.nachukua kikatio
7.nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili nyeusi)
8.nachukua mathematical set (mkebe) mpya
9.narudia tena hatua ya 3 hadi 5
10.naelekea machinjioni
Ratiba yangu ya oktoba 25:
1. Naamka mapema sana
2.nakunywa juice ya ukwaju kupata hasira
3.naangalia picha kadhaa za wamama wamelala zahanati wanne wanne
4.naangalia picha ya mwangosi
5.nakunywa tena juice ya ukwaju
6.nachukua kikatio
7.nachukua bic zangu mpya nne (mbili za bluu na mbili nyeusi)
8.nachukua mathematical set (mkebe) mpya
9.narudia tena hatua ya 3 hadi 5
10.naelekea machinjioni
Ikifika Oct 25 wote watakuwa wamesha elekea kibla tayari kupokea kichinjio shingoni
Kazi ni moja tuuu kitiki cha v kwenye kibox cha ukawa na wabunge Wa kawa
Ukienda kituoni at least kusanya wenzako 10 Wa ukawa
utunze vizuri huu siku hiyo utakuwa adimu View attachment 288432 hakikisha unaipata juice fresh
Huyo ndio mtanzania anae fikiria mabadiliko ndani ya lowasa. Very sorry. Amka acha utoto. Tanzania inakuhitaji na vizazi vyake. Lowasa hafai.