Tunahitaji mtu wa kutulelea mabadiliko lakini lowasa na timu yake ni fake. Kumbe tutabaki vilevile sababu ya uroho na tamaa za viongozi wa upinzani. Tamaa Chadema. Wangekuwa kama mwanzo sawa ila wamevuruga lowasa fake, corrupted
Huyo ndio mtanzania anae fikiria mabadiliko ndani ya lowasa. Very sorry. Amka acha utoto. Tanzania inakuhitaji na vizazi vyake. Lowasa hafai.
Trust me pata juice ya ukwaju au mbilimbi utafunguliwa huko ulikofungwa, mabadiliko ni sasa kupitia UKAWA, nakushauri tena Tujadili mifumo tuachane na watu
Tumia bongo ulizo pewa. Lowasa na sumaye hawa kuwa kwenye huo mfumo? Tunahitaji mabadiliko lakini sio lowasa. Wewe ni mrundi kichwani sikulaumu. Huwazi utanzania bali umefeediwa wrong propaganda
Kiboko haya maneno yapo kila siku tu mbona? Ni kashfa za kawaida Sana hiziMshana kubwa jinga
Tunahitaji mtu wa kutulelea mabadiliko lakini lowasa na timu yake ni fake. Kumbe tutabaki vilevile sababu ya uroho na tamaa za viongozi wa upinzani. Tamaa Chadema. Wangekuwa kama mwanzo sawa ila wamevuruga lowasa fake, corrupted
Tumia vizuri hilo neno "trust", sio hovyo hovyo kama mnywa viloba.
Mimi ni mtanzania halisi lakini sina akili za kiccm,
Lowasa kwako mbaya sisi kwetu Salama salmini
Mtaji wenu Wa wajinga wame badilika
Ccm kinaendeshwa na wajanja wachache ila wana akili ndogo na ukiangalia wengi Wa wafuasi wake wengi ni wajinga wanapenda zile taarabu zenu za TOT
Nimekushauri Usipaniki, ningependa nikuone unafika salama October ukiwa na afya tell, Nafikiri unajua ni mfumo gani umetuletea viroba
Huyo lowasa kwenye katiba akiwa Ccm ndio wa kwanza alikuwa anataka tena kingekuwamo cha mgombea binafsi msingemwona Chadema. Kwa kuwa walikataa katiba na hakimo pumbavu limekuja kuvuruga upinzani. Nilikuwa mfungwa ndani ya makamanda ila alipoingia fisadi papa lowasa. No.

# hapa ni kazi damuni
Hahahaaa nilijua huu ndio mwisho wake 'hapa kazi tu ccm mbere kwa mbere.....hakuna dira hakuna vigezo hakuna mipango, hakuna takwimu hakuna usimamizi, hakuna heshima, hakuna hekima,hakuna utaita, hakuna uzalendo,hakuna chochote ni kazi tu na mbele kwa mbele...
Afadhari kuwa "hakuna", na Hatimae utapata kuliko kujifanya unacho kumbe hata ambae hana ameomba na amepata. Wewe unajifanya unavyo na huna.
Mjumbe wa MunguView attachment 288344ishara ya mabadiliko... Ujumbe kwa watawala....isikieni sauti ya mabadiliko ondokeni kwa amani hatutaki kuwa na makumbusho kama hayaView attachment 288349mbere kwa mbere yenu iwe na mipaka hekima na tafakuri
View attachment 288362View attachment 288363hebu pata juice ya hii kitu kwanza Kichefuchefu kitakata then ukuje tuendelee na mjadala wa kujadili mfumo na si watu