jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Hiki kilishakuwa chama cha mashetani na machawi tu!
mshana jr hawa ccm watakua wamebeba Roho za watu
mfungwa perception creates reality... Awazalo mtu ndio huwa, kwa kujiita tu mfungwa tayari umeshajifunga na ufahamu wa hata vitu rahisi kabisaDuniani kokote shida zipo tena kwa sana, usidhani lowasa ndio atakuondolea. Kumbe we unaeposti mi picha nadhani kichwani mwako Lowasa ndio babako. Pole.
Mjumbe wa MunguView attachment 288344ishara ya mabadiliko... Ujumbe kwa watawala....isikieni sauti ya mabadiliko ondokeni kwa amani hatutaki kuwa na makumbusho kama hayaView attachment 288349mbere kwa mbere yenu iwe na mipaka hekima na tafakuri
Duniani kokote shida zipo tena kwa sana, usidhani lowasa ndio atakuondolea. Kumbe we unaeposti mi picha nadhani kichwani mwako Lowasa ndio babako. Pole.
mfungwa perception creates reality... Awazalo mtu ndio huwa, kwa kujiita tu mfungwa tayari umeshajifunga na ufahamu wa hata vitu rahisi kabisa
Kwa mfano hakuna mahali nimemtaja Lowassa au yeyote yule.. Mimi naushambulia mfumo... Lakini kwakuwa akili yako tayari iko kifungoni ndio maana unawaza hivyo.. Kumbuka Lowassa ni binadamu Leo yupo kesho hayupo lakini mabadiliko yatakuwepo milele
Duniani kokote shida zipo tena kwa sana, usidhani lowasa ndio atakuondolea. Kumbe we unaeposti mi picha nadhani kichwani mwako Lowasa ndio babako. Pole.
Usipaniki kuna vitu havitaki papara hebu tulia uandike vitu vya kueleweka au unahofia mb8 zitakata?
Instead(invece), reality is something stable, is there you can't move or add something, is there. We call unmoved mover. Hence forth to say perception creats reality is the philosophy which try to create something which is there. Note that as wrong as you read do not intermingling things with "reality". Hence according to you your perception is "lowasa", do not hesitate to mention. That why I revealed to you what is behind your brain. You can't say "mfumo", using that propaganda to insinuate my fellow Citizens with the "corrupted, interoperability person" lowasa as the tool to hand my country. He can't, he is the wrong man.
Tupe mrejesho Wa ccm kwa miaka 50 toka wakati huooo
Duniani kote kuna shida ndiyo izo sio shida hayo ni matokeo ya ccm kazi yao kununua Malory kuhujumu reli tuuu wanapitisha mizigo bandarini hawalipi kodi
Jiangalie wewe mwenyewe na jamii yako inayo kuzunguka
Mi nafkiri ifikie mahala tuwe na sera ya taifa maana wajinga ni wengi mno hata iyo elimu ya miaka 50 hata vijiti vya kuchokonolea uchafu kwenye meno hatuna kuna wasomi au wakremishaji kama wewe
Hebu tuongee kwa kiswahili, hiyo Lugha ya kukopa ni utumwa wa kimawazo na kimapokeo... Tujadili mfumo tuachane na haiba na mtu mmojammoja, mabadiliko yajayo Yana faida si kwa sisi tu bali hata kwako na familia yako... Kwakuwa ni mabadiliko ya kimfumo na si mtu mmoja mmoja kama unavyofikiri
Nimesha kwambia panic ni kichwani mwako jirekebishe! !!😧
Tumia bongo ulizo pewa. Lowasa na sumaye hawa kuwa kwenye huo mfumo? Tunahitaji mabadiliko lakini sio lowasa. Wewe ni mrundi kichwani sikulaumu. Huwazi utanzania bali umefeediwa wrong propaganda
View attachment 288362View attachment 288363hebu pata juice ya hii kitu kwanza Kichefuchefu kitakata then ukuje tuendelee na mjadala wa kujadili mfumo na si watu