CCM Mbele kwa Mbele, mtaisoma namba

CCM Mbele kwa Mbele, mtaisoma namba

Baada ya uchaguzi kupita,na ccm ikishinda watanzania wote ccm,na vyama vingine tutaisoma namba kwa pamoja
 
Mnaependa kumtukana na kumdhihaki Amiri jeshi na mkuu wa Nchi malizieni matusi ya Mwisho mwisho kwa Muungwana Jakaya. Baada ya kesho tunarudi kwny Nidhamu za wakati wa Mh.Benjamin William Mkapa
 
Tutarejea kwenye utamaduni wetu
 

Attachments

  • 1445668579981.jpg
    1445668579981.jpg
    10.3 KB · Views: 56
Back
Top Bottom