E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 26,012 Reaction score 25,353 Nov 11, 2014 #21 mshana jr said: Halafu waliambiwa watapiga picha na rais na watakaa meza kuu na watakula ubwabwa na nyama halafu wataonyeshwa tbccm Click to expand... ....cheki wanavyo tumika !!!
mshana jr said: Halafu waliambiwa watapiga picha na rais na watakaa meza kuu na watakula ubwabwa na nyama halafu wataonyeshwa tbccm Click to expand... ....cheki wanavyo tumika !!!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 11, 2014 Thread starter #22 Earthmover said: ....cheki wanavyo tumika !!! Click to expand... Hahahahaaa nina hakika asilimia 99 ndio mara yao ya kwanza kulishika SIO KUSOMA hilo gazeti....na ndio ilikuwa ya mwisho....!!!!
Earthmover said: ....cheki wanavyo tumika !!! Click to expand... Hahahahaaa nina hakika asilimia 99 ndio mara yao ya kwanza kulishika SIO KUSOMA hilo gazeti....na ndio ilikuwa ya mwisho....!!!!
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Nov 11, 2014 #23 Earthmover said: njoo nikuajiri tent boy attendant kwa siku ntakulipa 40$ badala ya kuvizia bia za bure viunga vya sakina !!! Click to expand... Acha kujidhalilisha, usidhani hujulikani. Una uwezo wa kuajiri mtu wewe? Unaishi kwa mama yako mpaka leo?
Earthmover said: njoo nikuajiri tent boy attendant kwa siku ntakulipa 40$ badala ya kuvizia bia za bure viunga vya sakina !!! Click to expand... Acha kujidhalilisha, usidhani hujulikani. Una uwezo wa kuajiri mtu wewe? Unaishi kwa mama yako mpaka leo?
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,280 Nov 11, 2014 #24 kitoromoni said: hivi wewe unadhani hao wana nini kama siyo njaa? Click to expand... Wewe Kitorondo huna njaa?
kitoromoni said: hivi wewe unadhani hao wana nini kama siyo njaa? Click to expand... Wewe Kitorondo huna njaa?
Bright Smart JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 642 Reaction score 312 Nov 11, 2014 #25 Ila kwa mtazamo wa picha inaonekana hawa wa chini ndo wana njaa kali sana...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,114 Nov 11, 2014 Thread starter #26 Bright Smart said: Ila kwa mtazamo wa picha inaonekana hawa wa chini ndo wana njaa kali sana... Click to expand... Yaweza kuwa kweli lakini uzuri ni kwamba hawatumiki
Bright Smart said: Ila kwa mtazamo wa picha inaonekana hawa wa chini ndo wana njaa kali sana... Click to expand... Yaweza kuwa kweli lakini uzuri ni kwamba hawatumiki
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,179 Reaction score 7,386 Nov 11, 2014 #27 mshana jr said: View attachment 201202 Wamejawa na haya na sononi nyusoni mwao na hawajui wala hawana uhakika kwanini wako hapo na kama je pesa yao haijapigwa panga Click to expand... Ni haibu sana kuona mtu mwenye akili timamu anashabikia CCM.
mshana jr said: View attachment 201202 Wamejawa na haya na sononi nyusoni mwao na hawajui wala hawana uhakika kwanini wako hapo na kama je pesa yao haijapigwa panga Click to expand... Ni haibu sana kuona mtu mwenye akili timamu anashabikia CCM.
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 26,012 Reaction score 25,353 Nov 11, 2014 #28 MSALANI said: Acha kujidhalilisha, usidhani hujulikani. Una uwezo wa kuajiri mtu wewe? Unaishi kwa mama yako mpaka leo? Click to expand... ......usione aibu kula ajira ya tent attendant jamii forums kusaidiana !!!
MSALANI said: Acha kujidhalilisha, usidhani hujulikani. Una uwezo wa kuajiri mtu wewe? Unaishi kwa mama yako mpaka leo? Click to expand... ......usione aibu kula ajira ya tent attendant jamii forums kusaidiana !!!