Ccm MASLAHI...!!!

Kuna wamasilai na wa kusononika na ni sawa sawa na jahazi mmoja wanahodha kumi na mmoja tobaaaaa lakini yote kheri
 
Midomoni wanaihubiri ccm mioyoni wanaitamani CHADEMA, yani ni sawa na kuwa na mpenzi usiyempenda ila kwakuwa anazo unamchuna halafu unaenda kutumia na yule ambaye roho yako imemdondokea
 
...

wamepelekwa na njaa

Ukiwauliza kwa hakika na wakawa na confidence ya kufunguka bila woga hakuna ccm hata mmoja hapo, lugha ya picha inaongea dhahiri shayiri
 
Kweli hao ni maslahi maana haiingii akilini watu wa tasnia moja na siku moja kwa pamoja na wamekaa pamoja na kuamua kwa pamoja kujiunga na chama yaani hata kama ingekuwa ni chama kingine bado wangeitwa ni maslahi tu
 
Ndio wale wa kusombwa na malori kupewa t-shirts, kofia na posho halafu wanapewa kipaza sauti na kuanza kupayuka na kusifia mapimbi na upimbi
 
....mkuu hawa njaa tu !!!

Wamejidhalilisha mno...! Wamekuwa na akili finyu kama makalio ya bata..!!! Posho wamepokea kiduchu lakini hii picha itabaki na kuwasuta milele, wanatamani kuikana lakini ngumu
 
Wamejidhalilisha mno...! Wamekuwa na akili finyu kama makalio ya bata..!!! Posho wamepokea kiduchu lakini hii picha itabaki na kuwasuta milele, wanatamani kuikana lakini ngumu

....wanatumika sana !! bata ni bata tu.....

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…