NAPE ni mtu au Kampuni ya Kuzalisha maneno, kila kukicha neno jipya na waandishi tele. NAPE kilefu chake ni New Ambush Pure Engine, kwa kuchonga ajambo siku 90 zimeisha ili kaliacha karukia jingine
ikaja ccm tena;
musiandamane hatilipi tulikuwa tunatania tu.
MY TAKE:nchi inaongozwa na chadema ndo maana chadema inachosema ccm na serikali inafuata.mia
Nawaomba wanaharakati na watanzania wote wenye nia njema na nchi hii wajitahidi kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa maandamano kwa maendeleo endelevu ya taifa letu lililojaa uozo wa kila aina, kwa sababu naamini wengi wetu (hasa vijijini) kupata taarifa inakuwa ngumu sana na inachukua muda.
Yeah, CCM watakuwa kwenye maandamano kuishinikiza serikali isiilipe Dowans, kiongozi wa maandamano ni m/kiti CCM taifa Jk! Umesasau wakati wa kikao cha NEC CCM iliilalamikia serikali kwa kupandisha bei ya mafuta?
Mmh.! JK mwenyewe gamjui huyo mmiliki wa dowans, ila watanzania wanamjua.! A SMART GOVT SHOULD KNOW EVERYTHNG HAPPENING WITHN THE COUNTR, JK' GOVT DOESNT KNOW ALOT OF THINGS.!
CCM kupitia msemaji wake ambaye anakaribia kupoteza umaarufu wa jina la baba yake Nape Nauye akiongea na TBC1 amesema CCM hawatambui uamuzi wa mahakama kuu kwa kubariki na kuridhia Tanesco kuilipa DOWANS.
source: habari kwa ufupi TBC1 saa 10
navuta picha ya huo U-DC aliopachikwa na mkuu wa kaya,ni afadhali jamii imemtambua jinsi alivyo...kama angeendelea kuwa dc,hiyo wilaya sidhani kama ingekuwa na dc me ata simuelewi huyu jamaa..shame on him
Ukitaka kuwawin watz 2015 ni kuwa na ela lukuki za kununua fulana na tshirt bila kusahau khanga
Na ela za Dowans ndo starting capital kwa ajili ya izo kazi
ikaja ccm tena;
musiandamane hatilipi tulikuwa tunatania tu.
MY TAKE:nchi inaongozwa na chadema ndo maana chadema inachosema ccm na serikali inafuata.mia
good start for us....kama tutakuwa pamoja kuipinga serikali ya ccm na wana ccm wakiwa ni among protesters then i m sure we will win the battle ila kama ni janja ya nyani pia tutajua ila nijuavyo mimi dogo katumwa kupuliza upepo ajue unaelekea wapi...tutaanza kwa kupinga malipo ya dowans then rais wa nec simple