ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Acha kuwa na akili za kushikiliwa CCM ndiye nani hapa???JK+Pinda au huyo mpayukaji Nape
mgomo palepale sijui watafanyaje lazima nape arudishe ile takrima kwa waandishi wa habari..
Acha kuwa na akili za kushikiliwa CCM ndiye nani hapa???JK+Pinda au huyo mpayukaji Nape
Hata na mimi ninashangaaaaa, au wanataka wafanye hivyo kuonyesha nao inawakela ili kupunguza munkali wa wana-arakati ktk kudai haki ya msingi.Wanazunguka mbuyu hao, haiwezekani mazuri yawe associated na CCM halafu mabaya ya serikali yasiusianishwe na CCM. Nao saizi wanaipinga mahakama!
Yeah, CCM watakuwa kwenye maandamano kuishinikiza serikali isiilipe Dowans, kiongozi wa maandamano ni m/kiti CCM taifa Jk! Umesasau wakati wa kikao cha NEC CCM iliilalamikia serikali kwa kupandisha bei ya mafuta?
Kwani hao si ndio wanajitapa kuwa wanafuata utawala wa sheria. Sasa inakuwa hawatambui maamuzi ya mahakama, tena mahakama Kuu!CCM kupitia msemaji wake ambaye anakaribia kupoteza umaarufu wa jina la baba yake Nape Nauye akiongea na TBC1 amesema CCM hawatambui uamuzi wa mahakama kuu kwa kubariki na kuridhia Tanesco kuilipa DOWANS.
source: habari kwa ufupi TBC1 saa 10
good news
Ukitaka kuwawin watz 2015 ni kuwa na ela lukuki za kununua fulana na tshirt bila kusahau khanga
Na ela za Dowans ndo starting capital kwa ajili ya izo kazi
ilianza ccm;
DOWANS lazima ilipwe by CHILIGATI
ikaja CHADEMA;
mukiilipa dowans tunaandamana.
ikaja ccm tena;
musiandamane hatilipi tulikuwa tunatania tu.
MY TAKE:nchi inaongozwa na chadema ndo maana chadema inachosema ccm na serikali inafuata.mia