CCM maji ya shingo, yabaki na karata mbili za mwisho

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Hali ni tete. Mambo ni mchafukoge. CCM iko maji ya shingo. Imebanwa ikabanika. Baada ya kusambaratika kwa timu ya kampeni ya watu 32, kuvuja kwa mipango ya chama kabla ya kutekelezwa na kadhalika, CCM imebaki na karata mbili za mwisho.

Kwanza, kuwatumia wastaafu kushawishi watanzania kuipigia kura CCM. Wazee kama Mwinyi, Mkapa, Warioba, Makamba, Mama Nyerere na Mama Karume wanatumika. Lakini,wazee hawa wanalinda maslahi ya nani? Waliopo madarakani chamani wameshindwa?

Karata ya pili ni ya kutumia 'kila njia na mbinu' kushinda kwa kishindo. Bao la mkono. Limeshasukwa. Karata hizi zikiwa magarasa, CCM inang'oka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Mzee tupatupa Mwambie Magufuli kwa njia ya kumuonya kuwa asijaribu kutumia mbinu itakayoratibiwa na polisi, kwa maana MUNGU yupo kinyume nayo.
Ndugu zake watamkosa, ili Mungu apate kujitukuza mwenyewe mbele ya wenye shingo ngumu.
 
Hali ni tete. Mambo ni mchafukoge. CCM iko maji ya shingo. Imebanwa ikabanika. Baada ya kusambaratika kwa timu ya kampeni ya watu 32,kuvuja kwa mipango ya chama kabla ya kutekelezwa na kadhalika,CCM imebaki na karata mbili za mwisho.

Kwanza,kuwatumia wastaafu kushawishi watanzania kuipigia kura CCM. Wazee kama Mwinyi,Mkapa,Warioba,Makamba,Mama Nyerere na Mama Karume wanatumika. Lakini,wazee hawa wanalinda maslahi ya nani? Waliopo madarakani chamani wameshindwa?

Karata ya pili ni ya kutumia 'kila njia na mbinu' kushinda kwa kishindo. Bao la mkono. Limeshasukwa. Karata hizi zikiwa magarasa,CCM inang'oka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Kuna mabao mengine ya mkono huwezi kulaumu!
Kama bao la Giroud wa arsenal juzi, huwezi kulaumu!
Ni bao zuri!
 
Hakika kila chenye mwanzo hakikoc kuwa na mwisho ushauli wng wapinzan wakipita bc wakubari matokeo nimaon tuuuu,
 
Mzee Tupa Tupa wasiwasi wenu unatokana na nini? Au ule utafiti mliofanya ulikua wa Uongo?
 
Hali ni tete. Mambo ni mchafukoge. CCM iko maji ya shingo. Imebanwa ikabanika. Baada ya kusambaratika kwa timu ya kampeni ya watu 32,kuvuja kwa mipango ya chama kabla ya kutekelezwa na kadhalika,CCM imebaki na karata mbili za mwisho.

Kwanza,kuwatumia wastaafu kushawishi watanzania kuipigia kura CCM. Wazee kama Mwinyi,Mkapa,Warioba,Makamba,Mama Nyerere na Mama Karume wanatumika. Lakini,wazee hawa wanalinda maslahi ya nani? Waliopo madarakani chamani wameshindwa?

Karata ya pili ni ya kutumia 'kila njia na mbinu' kushinda kwa kishindo. Bao la mkono. Limeshasukwa. Karata hizi zikiwa magarasa,CCM inang'oka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Tunajua siku hizi unakula Ukawa na wewe ndo unagawa siri za chama
 
Hali ni tete. Mambo ni mchafukoge. CCM iko maji ya shingo. Imebanwa ikabanika. Baada ya kusambaratika kwa timu ya kampeni ya watu 32, kuvuja kwa mipango ya chama kabla ya kutekelezwa na kadhalika, CCM imebaki na karata mbili za mwisho.

Kwanza, kuwatumia wastaafu kushawishi watanzania kuipigia kura CCM. Wazee kama Mwinyi, Mkapa, Warioba, Makamba, Mama Nyerere na Mama Karume wanatumika. Lakini,wazee hawa wanalinda maslahi ya nani? Waliopo madarakani chamani wameshindwa?

Karata ya pili ni ya kutumia 'kila njia na mbinu' kushinda kwa kishindo. Bao la mkono. Limeshasukwa. Karata hizi zikiwa magarasa, CCM inang'oka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Hao wazee hawana mvuto tena, hampati kura kupitia hao.

'Bao la mkono" litaleta fujo kubwa sana.

Msilijaribu.
 
Kwakeli leo nimetembelea tabata segerea kinyerezi ccm chali,mkutano wa magufuli bunju umejazwa na wakinamama waliokuwa wakisombwa na ma basi kutoka mkutano mmoja kuhamia mwingine.Yaani hapa dar magufuli kawahutubia watu wale wale mikutano yote
 
CCM wameshaondolewa madarakani. Hiyo tarehe 25 tunaenda kukamilisha ratiba.
 
Hali ni tete. Mambo ni mchafukoge. CCM iko maji ya shingo. Imebanwa ikabanika. Baada ya kusambaratika kwa timu ya kampeni ya watu 32, kuvuja kwa mipango ya chama kabla ya kutekelezwa na kadhalika, CCM imebaki na karata mbili za mwisho.

Kwanza, kuwatumia wastaafu kushawishi watanzania kuipigia kura CCM. Wazee kama Mwinyi, Mkapa, Warioba, Makamba, Mama Nyerere na Mama Karume wanatumika. Lakini,wazee hawa wanalinda maslahi ya nani? Waliopo madarakani chamani wameshindwa?

Karata ya pili ni ya kutumia 'kila njia na mbinu' kushinda kwa kishindo. Bao la mkono. Limeshasukwa. Karata hizi zikiwa magarasa, CCM inang'oka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Kwa niliyoyaona ndani ya Tume sidhani kama hilo bao la mkono litawezekana!!!!

Mwaka huu hali ipo fair mno ndiyo maana CCM imechanganyikiwa!!!
 
Hali ni tete. Mambo ni mchafukoge. CCM iko maji ya shingo. Imebanwa ikabanika. Baada ya kusambaratika kwa timu ya kampeni ya watu 32, kuvuja kwa mipango ya chama kabla ya kutekelezwa na kadhalika, CCM imebaki na karata mbili za mwisho.

Kwanza, kuwatumia wastaafu kushawishi watanzania kuipigia kura CCM. Wazee kama Mwinyi, Mkapa, Warioba, Makamba, Mama Nyerere na Mama Karume wanatumika. Lakini,wazee hawa wanalinda maslahi ya nani? Waliopo madarakani chamani wameshindwa?

Karata ya pili ni ya kutumia 'kila njia na mbinu' kushinda kwa kishindo. Bao la mkono. Limeshasukwa. Karata hizi zikiwa magarasa, CCM inang'oka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mkapa ana ushawishi gani? Zaidi ya kutwambia wanaume tubebe mimba? Kura yng ni kwa lowasa.
 
Na propaganda za kashfa zimeenza naona kuna za kifo cha Mch.Mtikila zinaenezwa kwa kasi ,tutegemee nyingi kuanzia kesho.
 
Kwakeli leo nimetembelea tabata segerea kinyerezi ccm chali,mkutano wa magufuli bunju umejazwa na wakinamama waliokuwa wakisombwa na ma basi kutoka mkutano mmoja kuhamia mwingine.Yaani hapa dar magufuli kawahutubia watu wale wale mikutano yote

😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱🙄
 
Back
Top Bottom