CCM maji ya shingo, yabaki na karata mbili za mwisho

CCM maji ya shingo, yabaki na karata mbili za mwisho

Karani wa Vibaka Ltd akitapatapa dakika za mwisho kabla kibaruachake hakijakoma hapo kesho
 
Karata ya pili ndio naiogopa, na ninaombea Mungu ishindwe! Iwe galasa, amen
 
Hali ni tete. Mambo ni mchafukoge. CCM iko maji ya shingo. Imebanwa ikabanika. Baada ya kusambaratika kwa timu ya kampeni ya watu 32, kuvuja kwa mipango ya chama kabla ya kutekelezwa na kadhalika, CCM imebaki na karata mbili za mwisho.

Kwanza, kuwatumia wastaafu kushawishi watanzania kuipigia kura CCM. Wazee kama Mwinyi, Mkapa, Warioba, Makamba, Mama Nyerere na Mama Karume wanatumika. Lakini,wazee hawa wanalinda maslahi ya nani? Waliopo madarakani chamani wameshindwa?

Karata ya pili ni ya kutumia 'kila njia na mbinu' kushinda kwa kishindo. Bao la mkono. Limeshasukwa. Karata hizi zikiwa magarasa, CCM inang'oka!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Karata ya tatu ni kumuomba mgombea wao naye ajinyee ili awe maarufu kama yule mgombea buahahahahahaha
 
Back
Top Bottom