CCM maji ya shingo huku kwa Nkamia

CCM maji ya shingo huku kwa Nkamia

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,806
Reaction score
2,349
Wadau amani iwe kwenu,

Hali tete huku Chemba yaani Afisa Taaluma wa wilaya ya Chemba anampigia kampeni shule kwa shule nimecheka sana jamani wanamabadiliko tukomae karibu kunakucha mana jana Magufuli alipita hapa nadhani ndio maagizo, anadai yeye na Magufuli mpaka kufa sina hali nilimdharau sana walimu amkeni huku anasema CCM ni chama kilichowaajiri yaani amewadharau sana walimu.

Habari ndio hiyo
 
wadau amani iwe kwenu. hali tete huku chemba yaani afisa taaluma wa wilaya ya chemba anampigia kampeni shule kwa shule nimecheka sana jamani wanamabadiliko tukomae karibu kunakucha mana jana magufuli alipita hapa nadhani ndio maagizo, anadai yey na magufuli mpaka kufa sina hali nilimdharau sana walimu amkeni huku anasema ccm ni chama kilichowaajiri yaani amewadharau sana walimu. habar ndio hiyo

Kura yangu kwa Lowassa
 
Babu duni haji kaingia Dodoma Leomida flan alikuwa mMkoka na segara,bilashaka upepo wa mabadiriko utampitia nkamia ndani ya Masaa machache yajayo
 
juzi sumaye amesema sio maji ya shingo tena, yameshaanza kuingia puani!!!
 
Wananchi wa Chemba kataeni hila za Nkamia na mawakala wake.Nilishuhudia fedha zikimwagwa wakati wa kura za maoni kutoka kwa chama cha kijani.Tujihadhari jamani,waungeni UKAWA!:blah::blah::blah::blah: nyingi za C.C.M
 
Waliichoka ccm wataenda leba watajifungua atarudi wataikuta imeimarika kuliko jana maana wachawi kila siku wanaondoka
 
Kauli mbiu ya mwaka huu ni mabadiliko lowassa na ukawa basi maana hakuna namna nyingine.
 
Ukoo wa panya unaweweseka
 
Wadau amani iwe kwenu,

Hali tete huku Chemba yaani Afisa Taaluma wa wilaya ya Chemba anampigia kampeni shule kwa shule nimecheka sana jamani wanamabadiliko tukomae karibu kunakucha mana jana Magufuli alipita hapa nadhani ndio maagizo, anadai yeye na Magufuli mpaka kufa sina hali nilimdharau sana walimu amkeni huku anasema CCM ni chama kilichowaajiri yaani amewadharau sana walimu.

Habari ndio hiyo

Safari hii CCM maji ya shingo kila kona sio wa Mkamia tu!!!. Mwambie Mkamia ya kwamba mkamia maji hayanywi!
 
Back
Top Bottom