Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,221
- 1,788
Kweli mkuu umenikumbusha kale kawimbo ka magamba; ka kukejeli walalahoi; watanzania tieni, tieni tieni kwa moyo mmoja nambari wani ni --- watanzania twapendeza" siku hizi magamba yamenyujwa kishenzi! ni mafisadi na mijizi haithubutu kutuimbisha tena!!!Hivi kapteni Komba hajaja huko la lile lori lake na band yake ya kwaya na taarabu?
hoya ndugu yake KINGUNGE hali yako!!!Hongereni sana, hata Miss Tanzania nayo iliendelea, CCM wajinga walisimamisha kampeni wakati wa maombolezo.
kumbe ni Diwani.tunashukuru kwa taarifa mh diwani, songeni mbele makamanda!