lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,205
Hivi Mkuu huyo Dr Makuri ndiye nani vile?
Nimecheka mbavu sina !!!! Haha haha haha kwani unaweza kupiga push up makalia yakiwa chini !!!!???Labda alimaanisha yule Mr Kidevu anayepiga push up wakati makalio kayaweka juuuu,jamaa mmoja hivi utakuwa unamjua alisema Saddam Hussein alikuwa raisi wa Kuwait. Ccm out
Nimecheka mbavu sina !!!! Haha haha haha kwani unaweza kupiga push up makalia yakiwa chini !!!!???
Utampigia mwenyewe, wenye akili timamu tunampigia Dr.Makuri
Utampigia mwenyewe, wenye akili timamu tunampigia Dr.Makuri