CCM lazima ife tu!


Graduates aina yenu ni mzigo kwa taifa. CCM lazima ife tu!
 
Lazima ife? Mbona walishasasema hata wanachama wote wakiondoka akabaki Nape peke yake haitakufa.
 
Utakufa wewe utaicha ccm imala na itatawala milele ccm ni chama kubwa!!!

Ilikufa dola ya kirumi sembuse hili genge la wezi, tatizo wote mliopo huko mna akili za maiti hivyo hamjui kinachoendelea duniani.RIP CCM.
 

Hueleweki.

Ufisadi wa kujengea nyumba mahawara kwa fedha za walipa kodi, vipi? au funika kombe?
 
Ife mara ngapi CCM??? Ishakufa! Ishaoza! Inanuka hata asiyenusa anaipata harufu! na hizo kelele unazozisikia ni wa nzi wa kwenye mizoga na ndege wapendao mizoga (valchas?? kama sikosei), hao ndo akina nepi, kinana na wengine.....RIP CCM
 
Imebaki midomo mwa Watanzania
Nyoyoni mwa watanzania wanawaza ni nani hatawakomboa toka kwanye hilo Dudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…