CCM lazima ife ili Watanzania waendelee

CCM lazima ife ili Watanzania waendelee

jitahidi kueneza sumu, ila angalia isije kukudhuru mwenyewe, mana waswahili walisema 'chanda chema.......


ndugu mohamed ni kweli hayo nilitoyaeleza ni sumu kwa CCM itakaowauwa kama hawatabadilika
 
ilishakufa kwa wasomi wa vyuo vikuu siku nyingi lakini kwa watanzania wa kule kwetu msaka ngoto bado labda kilo ya unga ikifika shilingi 100,000 ndo watashtuka kwenye usingizi mzito waliolala
 
Back
Top Bottom