CCM kwisha kabisa

Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani hakuna mbunge hata mmoja aliyechangia zaidi ya umbea,vijembe,kupongeza πŸ˜ΏπŸ™€πŸ˜ΏπŸ™€πŸ™€
Wachangie nn wale wanachoweza ni kusifia tu.
Utasikia ndiyooooo
Nampongeza raisi!
Naunga mkono hoja
Ndo mana wanataka wapimane mik... ndu yao kwanza ( waitara mwita, 2025)
 
Hawajui watapambana na kura za maoni soon, Bunge Linavunjwa mwezi ujao
Naona wamemleta Mzee Yusuf Makamba atie kiitikio cha mipasho Yao.
Cha kuchekesha Gwajima amekuwa agenda ya mkutano wao wamesahau hata kilicho wapeleka Dodoma
 
Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani hakuna mbunge hata mmoja aliyechangia zaidi ya umbea,vijembe,kupongeza πŸ˜ΏπŸ™€πŸ˜ΏπŸ™€πŸ™€
Hiki ndicho Chuo alikosoma Mbunge Tauhida Cassian Gallons Nyimbo. Bungeni jana, Mbunge huyu alituita Raia Ni SiSi wa Tanzania kuwa ni Kenge
 
Halafu Jumapili ijayo ni mbali sana nataka kuona majibu ya G boy
 
Hiko chama bila ya TISS, policcm sasa hivi tungekuwa tunaongea mengine. Kipo madarakani kwaajili ya hao hapo juu basi.

Gwaji boy kawavua nguo, hadharani badala ya kuchutama, wanakimbia kimbia wakiwa watupu. Aibu yao, watamuweza wapi Askofu? Ana akili kama mchwa. Chukua ccm wote na bado hawafikii akili ya Gwajima.
 
Ubwabwa, maharagwe na mchuzi pembeni.Mpishi amepiga kanga moja tu mkishakula mnaenda chumbani mnakitendea haki chakula.Mpishi ameshachoma sindano ya uzazi ya miezi site.Utakata kiuno hadi kiwiliwili kijitenge
 
Askofu tunangojea majibu vinginevyo umeogopa na umekimbia mtumbwi ukawaacha abiria
 
Pumba na chenga zote kwenye kapu moja,
#Gwajima asingejibiwa lolote, bunge lingemuita kwa wito maalum na kumuhoji, hapo ndipo AIBU ILIPO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…