CCM kwenda CHADEMA

Amekwambia ameamua kuhamia CDM baada ya ule umati pale Musoma je katika umati ule kuna unaowaita CDM asili? Na tambua CDM ina CDM halisi na CDM makapi ambayo kiongozi wao ni Slaa na Josephine Mushumbushi
 
ahaaaaaaa dogo yuko nondo leo nimefurahishwa na habari ya itv eti mji wa msoma wasimama kwa masaa kadhaa loh

mheshimiwa raisi ilimgharimu muda wa nusu saa kulifikia jukwaa. Hali hii ilitokana na umati mkubwa uliofurika kumsikiliza
 
Ni lowassaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kasema mwanangu wa miaka miwili, kisa nimemtania nikijua hajui kinachoendelea kuhusu kwanini vijana wanaonekana wakideki barabara huko musoma?

hahaahaa mimi kijana wangu wa mwaka na nusu kila akiona watu wanashangilia kwny tv anasema" lowassaaaaaaa pipo payaaa"
 
Hongera sana bwana X kwa kujitambua na karibu kwenye mabadiliko ya kweli ya kuwang'oa maccm madarakani.
 

ahaha! wewe hata kama huko chadema ila unaonekana bdo una u CCM ndani. toroke uje!
 
Yaani hum jf yamejaa mambumbu hajajitambulisha yeye ni nani nyie mnampongeza tu.yeye kajitambulisha X mnakubali tu.

We ulitaka nijitambulishaje? niseme kabisa kuwa miye ndo niliyekupakata kwenye daradara juzi ulivyokosa siti ama?
 

Safi umejitambua mapema kabla hujakumbwa na mfadhaiko ikifika oct 25.
 

Hongera mno japo ulichelewa kidogo
 

Na angekua bado chadema angemuunga mkonoMa padlock? Au amemuunga mkono baada ya vile vipande vya fedha alizopewa? Wasaliti hawahitajiki kwa sasa moto umewaka tunasonga mbele.
 
hahaahaa mimi kijana wangu wa mwaka na nusu kila akiona watu wanashangilia kwny tv anasema" lowassaaaaaaa pipo payaaa"

Hahahahahaaaa kijana mdogo anajitambua huyo kuliko kijana wa miaka 20 alieko ccm bado hajitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…