Japokuwa mimi si mshabidi wa pombe na zote naziona ni haramu,,namuunga mkono mleta mada,kwamba inazuiwa gongo ya wenyeji asilia,inaruhusiwa ya wageni eti kwakuwa imepimwa na ina package nzuri,,lkn pamoja na hayo madhara yake bado ni yaleyale kwa watu,sasa serikali imekwepa nini hapo,uganda wanautaratibu wakizinunua hizo pombe za wenyeji,waragi (gongo),na walau kuziweka katika standards,huku wananchi pia wananufaika kiuchumi.