ccm oyeeee!Hakuna dawa nzuri kama kulinda kura. KULA CCM KURA CHADEMA ENEZENI HII KAULI MBIU.
Hakuna dawa nzuri kama kulinda kura. KULA CCM KURA CHADEMA ENEZENI HII KAULI MBIU.
hata wao pesa za kuhonga hivi sasa hawana, tutegemee kuoa rushwa ya ngono kushamiri 2015.
Kwa hamasa iliyoonekana katika mkutano uliohutubiwa na kamanda F.Mbowe mwenyekiti wa taifa CHADEMA hapa Vwawa,Mbozi,ccm itabwagwa hata kwa mbinu zozote watakazozitumia.Watu wa huku wameikataa ccm.Mikutano ya ccm inapuzwa na wananchi. Ccm ina harufu ya kifo.Kifo cha nyani kila tawi linateleza.Mbinu zote za ccm zimeshindwa.
Hakuna dawa nzuri kama kulinda kura. KULA CCM KURA CHADEMA ENEZENI HII KAULI MBIU.
ccm oyeeee!
Aiseeee babaangu magamba 2tayabanduwa kwa dawa ya madowa
Jamani watu!! Mbona mnazika vinavyopumua?
nimeelekeza nguvu zangu zote kukiua hiki chama,kifo chake ndio faraja yangu, yeyote aliye tayari naomba ushirikiano tulifanikishe hili kwa pamoja. hakuna kitu cha thamani naweza kuaachia watoto na wajukuu wangu zaidi ya kuweka serikali imara katika nchi yangu, na kwa kweli kabisa, nimedharia kulifanikisha anguko la chama hiki kwa gharama yoyote ile, baada ya apo hata kifo kikinijiia nitakikabili kwa moyo mkunjufu.
Du hata Wahorombo nao wako Mbeya kweli NDOTO ZA ALINACHA nani kawaambia Kampeni za 2015 zimeanza?aiseeee babaangu embu gonga tano kwanza naungana na wewe