CCM kwachafuka,mchawi anatafutwa

Hiyo haina wasi wasi kabisa, ukipiga hesabu kama unavyopiga wewe uakuwa unajidanganya, chukuwa matokeo ya Tanzania nzima halafu useme mna asilimia ngapi?

Usijidanganye, upinzani umeangukia pua.
 
Hivi chama kinategemea heti wasira ndo jembe lao si uchizi huo,yaani mi mfano nisimame jukwaani na wasira,na bado mwezi wa tatu tunaanza kupiga kampeni dhidi ya katiba ccm
 
Aghhe escrow,mauaji ya tembe,sethi,ruge,tezi dume,nepi,wasira wa gombe mnafiki 6 lazma kuchafukoje
 
Hiyo haina wasi wasi kabisa, ukipiga hesabu kama unavyopiga wewe uakuwa unajidanganya, chukuwa matokeo ya Tanzania nzima halafu useme mna asilimia ngapi?

Usijidanganye, upinzani umeangukia pua.

Hadi unatia huruma ulivyotepeta ngebe zote kwisha.
 
yaani bangi za bavicha ni za kiwendawazimu haswaaaa. yaani asiyekuwepo tanzania na anasoma huu uhoro toka ughaibuni anweza kudhani UKAWA wamepata ushindi wa kishindooooo. kumbe ni mbwembwe tu kama za vigori wasaka mabwana.
tunafarijika mkijitia ujinga kwani nasi twapitia humohumo
 
Aghhe escrow,mauaji ya tembe,sethi,ruge,tezi dume,nepi,wasira wa gombe mnafiki 6 lazma kuchafukoje
vipi umeshawasilisha fedha kwa bosi wako anayemiliki bodaboda unayopigia deiwaka???
thanks JF kwa kutukutanisha na hata wehu kama huyu. eti na yeye ni miongoni mwetu GREAT THIKERS!!!!! HAHAHAHAHAHAHAHHAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Mzee tupatupa angalia tukaja kukukuta kesho upo Mabwepande kwa Ulimboka,mana jama wana hasira sana!
 
Hadi unatia huruma ulivyotepeta ngebe zote kwisha.

Hamna ujanja hata mseme nini, ukiwa hata 30% hamkufikisha? sasa ngojeni kipigo kingine takatifu 2015.

Kama kuna chama zaidi ya CCM kitaendesha Tanzania hii basi itakuwa kwenye uhai wa wajukuu zako uzeeni, si wewe wala wanao.
 
Si bure mdada utakua kwenye zile tarehe zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…