Sijaona ubaya wa ccm pengine ni chuki tu ambazo hazina mashiko ccm wanamapungufu yao lakini wamejitahidi kuwa na utawala bora na kuleta maendeleo ya dhati kwa watu wote.
ccm wasipotumia vyombo vya dola ni weupe kama karatasi(dr slaa) hakuna lisilowezekana hata wakitumia mbinu zote za duniani sanasana watatuletea machafuko ivyo tu
ccm wasipotumia vyombo vya dola ni weupe kama karatasi(dr slaa) hakuna lisilowezekana hata wakitumia mbinu zote za duniani sanasana watatuletea machafuko ivyo tu
Hatuombei machafuko hata kidogo kwani tunaona nchi zilizokuwa na nguvu kiuchumi kama Libiya zimeangamia kabisa na raia wake hawana mwelekeo. Tunachohitaji hawa wanasiasa warekebishe mambo yao na kasoro zinazojitokeza ili kufikia wakati wa uchaguzi uwe haki na kweli na anaeshindwa akubali kushindwa kwa dhati kabisa, kwani nchi hii ni yetu sote na anaepewa ridhaa na wananchi ana haki ya kutongoza.