CCM kwa nini kanda ya kaskazini mmepotwza majimbo mengi?

CCM kwa nini kanda ya kaskazini mmepotwza majimbo mengi?

Kwanini watu wa kaskazini, mna hoja za kibinafsi sana ?
 
Kaskazini watu wameelimika, hawadanganyiki kwa khanga,kofia na vijipesa, ukiwapa pesa oooh wanachukua wao wasema kula ccm lala cdm/ukawa. Elimu imewafungua macho, uchumi pia hali zao sio mbaya kivile.. nasikitika kusema ccm watazidi kupotea kaskazini
 
Kwanini watu wa kaskazini, mna hoja za kibinafsi sana ?

Kwa sababu ubinafsi ni asili ya mwanadamu. Mtu kama Nyerere alipokataa huu uasili wa mwanadamu na kuleta ujamaa ambao kiasili sio tabia ya mwanadamu alishindwa vibaya. Una hoja nyingine?
 
Jibu ni rahisi tu...watu wa kaskazini wanajielewa na wanakaribia kuifuta kabisa chama la milembe Dodoma
Kuwa mkweli tu Meku, Chadema ni mali ya wachagga na wakaskazini unategemea nini.
 
Kinyungu nimekupenda bure, watu wajifunze kwanini watu wa kaskazini wanaogopwa, wamepiga hatua kimaendeleo, wanajali kwao, wamejijenga makwao, hakuna nyumba za kilofa kama mikoa mingine, wamejitambua ndo maana wameachana na ccm malaghai, majizi, maongo...mtabaki kuiogopa kaskazn daimaaa
 
ccm inashinda kwenye elimu duni jibu rahisi sana hapa sumbawanga kuna Madiwani hawajui kusom
 
55807b14296ed29018786c677ea209ca.jpg

Sio pesa tu hata kilimo tupo juu

Bukoba hiyo kwa Mama Anna Tibaijuka!
 
Flibbertigibbet....you're a perfect example of a paranoid ccm mind that works on emotion instead of logic.
Well, I have never been perturbed; or flabbergasted, by a kooky monkey who masquerades as an Englishman.
 
Kas wanajitambua wana akili sio sawa na manyumbu wa mkoa fulani hata mbunge mmoja upinzani hakuna
 
Kama kuna mwaka watanzania wamejifunza kuhusu nyie basi ni mwaka huu. Ikulu mtaisikia tu kwenye bomba.
 
Back
Top Bottom