DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
chadema wanatumia helikopta na sio chopaSio kila helkopta ni chopa,chopa ni helkopta inayotumiwa na chadema
Wanajamvi,
TAARIFA muhimu toka makao makao madogo ya CCM Lumumba zinaeleza kuwa licha ya mabishano ya chopa itumike ama isitumike kutokana na hatari ya mlima meru hatimaye chopa kutumika rasmi ktk siku za mwisho wa kampeni.
Habari ambazo zimethibitishwa mtu wangu wa karibu lumumba zinasema wale waliokuwa wanapinga chopa kutumika wana hoja za 10% kuwaendea wanaotaka chopa ktk ukodishaji.
YOTE KWA YOTE NI JINSI YA KUKABILIANA NA MOTO WA CHADEMA WANAOKUBALIKA ktk jimbo la meru.
ZALEOLEO,usitutoe nje ya mada.sisi tunasema ivi hata hata waki2mia chopa 10 hazitasaidia.cdm 2tatumia baiskeli na 2nashinda
Kwa kawaida mtu akikuiga wewe tumia mbinu nyingine CDM MCHWA STAILI MWENDO mdundo.
Huo mwendo mdundo huwa unawasaidia nini?