chama cha mapinduzi hakitatumia helikopta katika uchaguzi wa arumeru mashariki,nimeongea na kiongozi mmoja amenidokeza kuwa hali hiyo inatokana na uchaguzi huo kuwa laini mara hamsini ya ule wa igunga.tayari wana madiwani wote 17 wa kata na wengine saba wa viti maalumu,wanawenyeviti wote wa vijiji vilivyoko jimboni humo na pia wana mabalozi.lakini jamaa wanapiga kampeni kisayansi sana kwani hivi sasa wamesambaza makada wao katika vijiji vyote na wanapiga kampeni za nyumba kwa nyumba na kuongea na wapiga kura kwa ushawishi wa hali juu anaeleza mikutano ya hadhara hutoa uhakika wa ushindi wa asilimia thelathini tu lakini pia anabainisha kuwa idadi kubwa ya wapiga kura ni wazee na wanawake ambao asilimia tisini ni wa kwao huku idadi kubwa ya vijana ikiwa haimo ndani ya daftari la wapiga kura kwa kifupia anasema kuwa kuvuta watu kwa helikopta hakuto taswira halisi ya wahudhuriaji

Well
done CCM, ningewashangaa sana kutumia helikopta na nyie. Mmeonyesha
nyie kweli ni strategist na mna uzoefu kwenye medani ya siasa. Na hapa
ndipo yaonyesha tofauti ya kipofu (cdm) na anae ona
(ccm).
Well done CCM, ningewashangaa sana kutumia helikopta na nyie. Mmeonyesha nyie kweli ni strategist na mna uzoefu kwenye medani ya siasa. Na hapa ndipo yaonyesha tofauti ya kipofu (cdm) na anae ona (ccm).

point less,igunga atukusimamisha mgombea 2010 tuliposimamisha 2011 nin kilisababisha na nyie mpeleke chopa..sisiem time will tell wapo rafiki zangu wengi wapo makumira na uoa wanasema makad wa magambaz wanawalazmisha wakusanye vtambulisho wapewe elfu10 shame on u magambz.mtaibia wajinga ila mda unakuja.
Ukipenda chongo huita kengeza. Najua kama CCM wangetumia helkopta ungewasifia kwa sababu wewe ndiyo wewe.
Hata CUF walikuwa na mtaji Igunga lakini waliula. Wazee wa Kishiri jana walitoka na bonge la povu kuwa peoples power ni hatari, eti hadi watoto wao wamewageka wanawaonyesha vidole viwili tu kila wanakopita.CCM wana mtaji mkubwa sana Arumeru, madiwani wote ni CCM hapo ww bado hujafunguka macho tu mpz wangu mzuri, laazizi na barafu wa moyo wangu !
CCM wana mtaji mkubwa sana Arumeru, madiwani wote ni CCM hapo ww bado hujafunguka macho tu mpz wangu mzuri, laazizi na barafu wa moyo wangu !
Hata CUF walikuwa na mtaji Igunga lakini waliula. Wazee wa Kishiri jana walitoka na bonge la povu kuwa peoples power ni hatari, eti hadi watoto wao wamewageka wanawaonyesha vidole viwili tu kila wanakopita.
Kuonyesha kuwa wewe na CCM yako ni wehu hamsemi kuwa sera gani zitawasaidia kushinda zaidi ya kusingizia wazee tu. Hiki chama chenu inaonekana mmeishakuwa washirikina
well done ccm, ningewashangaa sana kutumia helikopta na nyie. Mmeonyesha nyie kweli ni strategist na mna uzoefu kwenye medani ya siasa. Na hapa ndipo yaonyesha tofauti ya kipofu (cdm) na anae ona (ccm).