3: Hata pale ccm waliposhinda ilitokana na kuchakachuliwa kwa matokeo (Kama ilivyotokea huko Mbeya juzi kati)Unasahau (au umechagua kusahau) yafuatayo:
1: Ccm pamoja na kushinda Viti 22 hawakuweza kuwapokonya CHADEMA hata kiti kimoja walichokuwa wanakishikilia awali (wakati CHADEMA) walifanikiwa kuwanyang'anya ccm Vito walivyokuwa navyo awali
2: Hata pale ccm waliposhinda tofauti ya kura ilikuwa ndogo.
[B said:Kichuli[/B];5223717]Wewe ndiye utasambatika ccm itaendelea kudumu na kutawala daima ccm oyeeeeeee
Mkuu Ritz,kijana anajifunza kuandika propaganda baada wiki mbili mfulilizo kwa CDM kukandamizwa na nondo za kufungia mwaka 2013.Mkuu hii simulizi yako uliondika ungetafuta sehemu kwenye gazeti lenu la Tanzania Daima. Mie binafsi naona kama riwaya za Abunuasi tu.
Sio kadi tu mpaka uzi wa gamba unawekwa sandukuni kwa kumbukumbuWe subiri CHADEMA tuchukue nchi 2015, utamsikia NAPE akisema "tulikuwa pamoja."
View attachment 75065
Mkuu hii simulizi yako uliondika ungetafuta sehemu kwenye gazeti lenu la Tanzania Daima. Mie binafsi naona kama riwaya za Abunuasi tu.
mkuu ccm ni chama dola,si unakumbuka mapanga yaliyopigwa kule geita na wafuasi wa ccm? Ccm italisambaratisha taifa letu kwa ulevi wa madaraka.Kama CCM kufa ni sawa lakini 2015 CCM lazima itashinda uchaguzi hasa kwa ujinga wa Chadema kubweteka na watu kama wewe kuwa na matamanio ya ushindi 2015 bila kujipanga,Chadema bado haipo kwenye grass root,juzi tumeshudia Chadema ikipigwa kwenye udiwani kwa kupata viti 5 na CCM wakizoa viti 22! Matamanio ya kisiasa yasiwe kipeumbele na kuji sifia kushinda wakati mkakati wa chini haupo,Chadema bado ina kazi kuishinda CCM ila kwa kujifariji unaweza sema Chadema itashinda 2015
ccm wanatakiwa kujipanga 2 cyo maneno mengi kwani wenzao wamejipanga 2 hi ni karne nyingine sasa!
ukisema ukweli kwa wanaccm utawaona watakapo kuja juu maana wao wanachoamini ni chama kitakachotawala milele
Umemaliza dozi uliyoandikiwa na daktari.Isije tukakulaumu bure kumbe bado upo kwenye matibabu
Mkuu hii simulizi yako uliondika ungetafuta sehemu kwenye gazeti lenu la Tanzania Daima. Mie binafsi naona kama riwaya za Abunuasi tu.