Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
This is a serious question...I am not joking. Kila mwanachama/kiongozi akizungumza anazungumza kwa tambo zisizo na maana,kejeli,dharau na maneno matupu yasiyo na tija. Anakuwa tofauti na yule wa kabla ya kujiunga CCM.
Nimemuona na kumsikia mdogo wangu Salum Ally Hapi wa CCM aliyekuwa akihojiwa katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha Star TV leo. Hapi amebadilika. Si yule aliyekuwa mjenzi wa hoja UDSM na kuaminika. Hapi alipojiunga UDSM kwa Shahada ya kwanza ya Sheria,alinikuta nipo mwaka wa tatu Kitivoni. Nilimuacha akiwa mwaka wa pili.
S.A.Hapi si yule kabisa. Amefunzwa au kulishwa nini? Na kwanini karibu wote wanafanana uzungumzaji na wanavyovizungumza?
Bwana mdogo Salum Ally Hapi,jirekebishe and kindly mind your words and acts!