CCM kumpongeza Trump ni unafiki

Ipo Siku wewe utajinyea mchana kweupeee, chunga mdomo ndugu

Post yangu sikutaja Jina la Mwanasiasa yoyote zaid ya Trump tuliokuwa Tunamjadili nashangaa Nyumbu kuja na Jina la Mtu wao kumtetea tetea!
 
Ipo Siku wewe utajinyea mchana kweupeee, chunga mdomo ndugu

Wewe unajifanya kuwa psychologist mzuri unayejua kucheza na akila za watu, hukusema Lowassa alijinyea bali ulisema Trump hakuwahi kujinyea, that is stupid. unadhani tu wajinga kiasi hicho?
 
Post yangu sikutaja Jina la Mwanasiasa yoyote zaid ya Trump tuliokuwa Tunamjadili nashangaa Nyumbu kuja na Jina la Mtu wao kumtetea tetea!
Mshukuru Mungu kwa kukupa afya, usimdhihaki mwenzio alie mgonjwa kisa wewe una afya, aliempa huyo ugonjwa ndie huyo aliekupa wewe afya! KABLA 2020 HAIJAFIKA UTAKUWA USHAANZA KUJINYEA, na hapo ndipo utajua kuwa Mungu hadhihakiwi!
 
Kwa hiyo ukimdhihaki Fisadi ndo umemdhihaki Mungu sio! Kweli ukiwa na fedha utapata hata watu wa kukufananisha na Mungu
 
Ni nani alikwambia marekani vile vyama viwili ni upinzani? na unasemaje CCM hawapingani, wewe unafikiri JPM alikuwa anakubalika kwa wanachama wote?
 
Mmarekani anaweza kustuka ikiwa tu atapongezwa na nchi kama,China,Russia,Israel huko sio wewe na li ccm nnani anaijua ccm US?
 
Siku nyingine tetea hoja zako kwa ushahidi. Kuongea tu, hata Mkude Simba anaongea.
 
ikiwa hata mama Clinton amempongeza Trump , ccm ni nani asipongeze ? kwa maana nyingine REPUBLICAN sio chama cha upinzani tena ni chama tawala kama CCM. SIONI SHIDA HAPO
 
Trump mwenyewe ni mnafiki. Rejea maelezo yake wakati wa kampeni kuhusu obamacare.

TRUMP MADE A U-TURN ON OBAMA CARE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…