Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kutafakari na kupitia hukumu ya kesi ya jimbo la Igunga dhidi ya Dr. Kafumu wameamua kukata rufaa. Source Issa Michuzi MICHUZI
Ni dhahiri hawana watu wa kusimama jukwaani kuomba kura ukiitishwa uchaguzi mpya. Watu wao wanaotegemewa ndio haohao walioharibu ushindi wa Kafumu. Wanachofanya ni kusogeza muda mbele kwani wanajua hata hiyo rufaa bado hawawezi kushinda.
Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya kutafakari na kupitia hukumu ya kesi ya jimbo la Igunga dhidi ya Dr. Kafumu wameamua kukata rufaa. Source Issa Michuzi MICHUZI
Wanasheria hawawezi achia hela ya wazi hata kama wanajua kuwa huwezi kushinda. Let them appela. kwa mwenendo wa kesi, sidhani kama kweli watatoka. Advocates kuleni hele ye bure hiyo!
Hello jamii forum club, many of you I'm quite sure are dilighted by the outcome of Igunga polls appeal. Justice has been served to the oppossition side. The ruling party must now know that they are not above the law and cannot bride voters by using resources from the state.
Hawana ubavu wa kushindana na CDM kwenye uchaguzi mdogo kwa sasa hasa wakikumbukia kipigo cha Arumeru mashariki. Mbinu ni kuhakikisha uchaguzi unacheleweshwa kuepuka aibu.
Najiuliza kwa nini kusiwe na sheria ya wagombea au wapiga debe wanaoisababishia nchi kuingia kwenye ghrama mpya ya uchaguzi mdogo kwa hela za walipa kodi?
Watu kama Makufuli, Rage, Mkama, Huyo sheikh wa msikiti walitakiwa wanyongwe!
pambaf miCCM yatakuwa yanaFanya DELAYING TECNIC kwan wanajua hawawezi kushinda na kiama chao 2015, siamini km ndo CCM niloifahamu ndo hii, masikini CCM ii yote ni matokeo ya ufisadi ata mnaogopa kurudi kumnadi tena kafumu. poleni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.