Baada ya Chadema kufanya mikutano ya hadhara mbalimbali katika mikoa, wilaya, kata na vijiji nchini, hali ambayo imekivuruga chama cha mapinduzi, kuna tetesi kuwa CCM nayo imeanza kujipanga kuijibu CDM kwa kupitia maeneo yote ambako viongozi wa kitaifa wamepita. Habari zinaongeza kuwa viongozii wa ngazi ya Taifa, watapita maeneo yote waliyopita viongozi wa taifa wa CDM wakati viongozi wa mikoa yote nchini, wataendesha ziara katika kila wilaya kurudisha wanachama wa CCM waliovua gamba na kuchota wanachama kutoka CDM na vyama vingine vya upinzani. Katika harakati hizo, viongozi wa wilaya nao watatakiwa kufanya ziara (baada ya viongozi wa mkoa kupita) kila kata na kijiji ili kuhakikisha CCM haiendelei kupoteza wanachama.
Nadhani kwa mkakati huu, CCM inaweza kujaribu kurudisha imani yake kwa wananchi. Inagawaje, ni kama WAMECHELEWA
Tusubili tuone ngoma itakavyochezwa
kuna tetesi kuwa CCM nayo imeanza kujipanga kuijibu CDM kwa kupitia maeneo yote ambako viongozi wa kitaifa wamepita. Habari zinaongeza kuwa viongozii wa ngazi ya Taifa, watapita maeneo yote waliyopita viongozi wa taifa wa CDM wakati viongozi wa mikoa yote nchini, wataendesha ziara katika kila wilaya kurudisha wanachama wa CCM waliovua gamba na kuchota wanachama kutoka CDM na vyama vingine vya upinzani.
Umesema raisi ahudhurie halafu isiwe mkutano wa serikali!!??Ni kwa kasi isiyotarajiwa ya kwamba CDM inafahamika kwa kiasi kikubwa mingoni mwa watanzania huku CCM kikionekana kuwa chama cha vikundi....Katika hili tunaomba nacho/CCM kifanye mikutano Arusha, Dar na maeneo mengine yote ambayo CDM imepita ili nasi kuwaonyesha watanzania ya kuwa tupo hai na tunakubalika bado.
naomba awepo Raisi,Katibu mkuu, Nappe na baadhi ya wabunge kama ambavyo CDM wanafanya.Hapa tutajipima vyema. Mkutano huu usiwe wa kiserikali ila wakichama katika kuhamasisha maendeleo na uelewa wa demakrasia haki na wajibu.
AKSANTEEEEEEEEEEEEEEE
Otherwise PEOPLES'S POWER ITATAWALA
Ni kwa kasi isiyotarajiwa ya kwamba CDM inafahamika kwa kiasi kikubwa mingoni mwa watanzania huku CCM kikionekana kuwa chama cha vikundi....Katika hili tunaomba nacho/CCM kifanye mikutano Arusha, Dar na maeneo mengine yote ambayo CDM imepita ili nasi kuwaonyesha watanzania ya kuwa tupo hai na tunakubalika bado.

Hatuhitaji kumtumia Rais
kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya
vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM
huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa
Chadema.....
Ni kwa kasi isiyotarajiwa ya kwamba CDM inafahamika kwa kiasi kikubwa mingoni mwa watanzania huku CCM kikionekana kuwa chama cha vikundi....Katika hili tunaomba nacho/CCM kifanye mikutano Arusha, Dar na maeneo mengine yote ambayo CDM imepita ili nasi kuwaonyesha watanzania ya kuwa tupo hai na tunakubalika bado.
naomba awepo Raisi,Katibu mkuu, Nappe na baadhi ya wabunge kama ambavyo CDM wanafanya.Hapa tutajipima vyema. Mkutano huu usiwe wa kiserikali ila wakichama katika kuhamasisha maendeleo na uelewa wa demakrasia haki na wajibu.
AKSANTEEEEEEEEEEEEEEE
Otherwise PEOPLES'S POWER ITATAWALA
Wewe Nnauye Jr ni kiongozi wa ngazi ya juu lazima uwe na adabu kidogo unapo respond posts za watu, majibu ya aina hii waachie wasaidizi wako kina ritz, Rejao, Kamati ya Katiba na wengine. Jibu kama hili linakuonyesha ni kwa kiasi gani unawahofia hao unaowaita waganga njaa.Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Baada ya Chadema kufanya mikutano ya hadhara mbalimbali katika mikoa, wilaya, kata na vijiji nchini, hali ambayo imekivuruga chama cha mapinduzi, kuna tetesi kuwa CCM nayo imeanza kujipanga kuijibu CDM kwa kupitia maeneo yote ambako viongozi wa kitaifa wamepita. Habari zinaongeza kuwa viongozii wa ngazi ya Taifa, watapita maeneo yote waliyopita viongozi wa taifa wa CDM wakati viongozi wa mikoa yote nchini, wataendesha ziara katika kila wilaya kurudisha wanachama wa CCM waliovua gamba na kuchota wanachama kutoka CDM na vyama vingine vya upinzani. Katika harakati hizo, viongozi wa wilaya nao watatakiwa kufanya ziara (baada ya viongozi wa mkoa kupita) kila kata na kijiji ili kuhakikisha CCM haiendelei kupoteza wanachama.
Nadhani kwa mkakati huu, CCM inaweza kujaribu kurudisha imani yake kwa wananchi. Inagawaje, ni kama WAMECHELEWA
Tusubili tuone ngoma itakavyochezwa
Programme hizo zitakifilisi chama kutokana na gharama kubwa ambazo chama kitaingiia ili kushawishi watu na gharama za rais kuwepo mahali ni kubwa siyo kama Dr. Slaa.
Chama cha Mapinduzo ndiyo kipo madarakani hakiitaji kujikita kwenye siasa za majukwaa zaidi ya utekelezaji wa ilai yake ambayo ndiyo kampeni kubwa kuliko kushinda kwenye majukwaa.
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Nape ndugu yangu, majibu yako yawe yanafanana na wadhifa wako wa kitaifa. Majibu ya kihuni waachie wahuni na sio wewe! Ukijibu, sisi tunatumia majibu yako kama rejea kama hujui hilo basi kuna walakini mkubwa juu ya uwezo wako wa kiuongozi!Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
Nikipata T-shirt ya hivi kweli ntavaa, huyu mtengenezaji wa mavazi ya njano na kijani yenye jembe na nyundo imemfikia hii charter?Watu wataenda kula UBWAWA tu, hakuna mwenye mapenzi na CCM.
View attachment 54927
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
Hatuhitaji kumtumia Rais kujibu yanayosemwa na makundi ya wanaharakati waganga njaa kwa kujifanya vyama vya siasa, tutajibu wenyewe! Mwenyekiti wa CCM huwezikumlinganisha na Mwenyekiti wa kikundicha wanaharakati wa Chadema.....
CHADEMA waliona muda wa kampeni hautoshi wakaamua kuanza mapema. Akili zao zinawatuma kuwa Watanzania walio wengi watawapa madaraka 2015. Maawee!