CCM kujenga chuo kikuu!

CCM kujenga chuo kikuu!

CCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.
Vizuri sana
Maana kuna vyama vingine hata ofisi yw chama kitaifa n mtihan
 
Polepole na Le Mutuz ndiyo watakua academicians
Nkuu wa Chuo (Chansellor) atakuwa Pro Pesa mwenye kufwata Nkumbo, Pro Pesa Bansen Bana atakuwa VC.... Yu Sufu Ma Ropes atakuwa DVC-Proper Ganda, Mkuu Chika atakuwa DVC-Kusanya rasil Mali Watu, na wakuu wa vitivo watakuwa: Gaumbo, Bashnet, Makaa Lala, Jouni Mong' Laa, Mwenye Nyeti na Ole Sendekwa.
 
Watakaosoma hicho chuo wote lazima wapate first class ..then wataiongoza tz kwenda shimon kabisaaa Kama mwenyekiti wao anachofanya...
 
Chadema ofisi tu ya makao makuu ya chama wameshindwa, eti hawa tulogwe tuwakabidhi nchi, tutajuta
 
CCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.

Kujenga is one aspect na kuangalia suitable content inayokidhi hitaji la ajira is another, je kwanini tusi invest katika kusuka upya mfumo wa elimu yenye tija badala ya kurundika vyuo, ikumbukwe kuwa idadi ya vyuo siyo shida, tatizo lipo kwenye muundo wa kinachotolewa
 
CCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.
Aisee we jingalao bana, acheni ujinga basi, wahitimu wenu si ndo watakuwa kina Bashite na Chakubanga? 4 x 4 = 44, pumbavu😛
Screenshot_2018-04-19-23-14-19-1.png
 
Hapo unakuta lecturer ni polepole
Utakipenda mwenyewe

Wanavaa na uniform kitu kijani na njano ha ha ha
 
Chuo Kikuu cha kufundisha watu uongo? Kwa maana ndo kazi pekee iliyobaki huko Lumumba. Ni UONGO, UONGO, UONGO!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
CCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.
Safi makada wanapaswa kupikwa wapikike kwa mustakabali wa chama na nchi kwa ujumla wake.
 
CCM ina mpango wa kujenga chuo kikuu ili kuhakikisha makada na wananchi kwa ujumla kupata elimu.
Hicho kitakuwa ni kiwanda cha mazwazwa first class kama jingalao.
Shule zenu mbona hamuwezi kuziendesha kwa ustadi? Mtaweza university kweli?
 
Back
Top Bottom