CCM kujenga chuo kikuu

Hicho watasoma watoto wao labda. Kwa kazi zipi baada ya kuhitimu? @*$#.
 
sifa za kujiunga na hicho chuo zitakuwa hizi za kawaida zinazosimamiwa na TCU au wataongeza ukubwa wa goli la mkono
 
Asa icho kitakuwa ni chuo kikuu kweli? Tuache utani bhana,hakitakuwa na faida yoyote kwa tz,ati kuwa kiongoz wa ccm ndo atasoma uko ili aje kuwa kiongozi?
 
Hiki kitakuwa Chuo Kikuu cha Kwanza cha Aina yake. Hii ni hatari kwa Taifa kuwa na chuo ambacho kina mtaala wa kijani tu. CCM wahurumieni watoto wetu.
Hivi fikiria kweli mnakuwa na lichuo kwa mwaka wanahitimu watu 1000 kama wakina Bashite, Happi, Le Mutuz, Musiba, aiseee hatari sana kwa Tanzania na Afrika. Hahahaha, kazi sanaaaa kuwa mtanzania.
 
Back
Top Bottom