CCM na wizi wa kura ni kama chupi na makalio
kwani hamkuona wale jamaa walivyokua wakimlilia rostam?.....jamaa kawaambia amejivua gamba, watu wanaimba "hatutakiii, hatutakii"....we unafikiri ccm wanahitaji kuiba kura hapo?.....mbona its obvious.....mnazijua akili za watanzania au mnazisikia tu?
kwani hamkuona wale jamaa walivyokua wakimlilia Rostam?.....jamaa kawaambia amejivua gamba, watu wanaimba "hatutakiii, hatutakii"....we unafikiri CCM wanahitaji kuiba kura hapo?.....mbona its obvious.....mnazijua akili za watanzania au mnazisikia tu?
Mchungaji wewe mtundu sana..yaani umesababisha nicheke mwenyewe bila kutarajia!!Kuna G string mkubwa siku hizi!
Halafu katoka hapo na kicheko kuwa kapata wakati fedha hizo ni sehemu ya fedha zake zilizoibiwa na huyohuyo aliyempa. weli mtaji wa CCM ni ujinga wa watu.tunasikia walilipwa hela kibao,kuna mama mmoja alikuwepo al;ilipwa 50,000 kazi aliyopewa ni kulia
Kulia ni jambo geni kwako hata kwenye mapenzi watu hulia
watanzania tumeshuhudia malumbano na matatizo kibao tangu uchaguzi wa mwaka jana,huu uchaguzi wa igunga ndio wa kwanza tangu uchaguzi mkuu mwaka jana,watanzania wote tuna hamu tujue uwezo wa ccm,je bado wanakubalika kwa watanzania
uchaguzi huu utakuwa kipimo tosha kwa kikwete na serikali yake,je wataiba tena kura kama walivyozoea??macho yetu yote IGUNGA[/QUOTE).
Mdau ina maana ushindi wa mbunge aliyejiuzulu(Mh.Rostam) ulikuwa wa wizi wa kura? Lakini pia nakumbuka hotuba ya Rostam kuhusu aliyoyasimamia Jimbo la Igunga-Mfano, kila kaya katika Jimbo hilo ina bima ya afya. Je, hiyo haiwezi kuwa nguvu na hoja ya C.C.M. kushinda tena? Tusielekeze macho tu,bali pia fikra zetu pia,kwani unaweza kuangalia ukashindwa kutafsiri unachoangalia!