CCM Kufuta Kitengo Cha Propaganda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM Kufuta Kitengo Cha Propaganda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, May 20, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kwa mujibu wa nape.

  badala yake wataunda kitengo cha mahusiano ya umma ili kukiwezesha kuwa karibu zaidi na wananji.

  kitengo cha propaganda kuunganishwa na idara ya habari ambayo inatarajiwa kuundwa ivi karibuni.

  zaidi ni kuondoa dhana na tafsiri mbaya ya neno 'propaganda'

  mengine ni blah-blah tu.

  source: Uhuru
   
 2. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Zote hizo ni blah blah, mfa maji hakosi kutapatapa kinachotakiwa sio kubadili majina ya vitengo na kauli mbiu ila mabadiliko ya dhati katika utendaji na utumishi wa umma wa watanzania, kwa mfano sasa kuna tatizo la umeme hili sio geni lina miaka 20 sasa, kwa JeyKei lina miaka kama sita lakini bado ni dharura,

  Swala la ufisadi kinachotakiwa ni vitendo na sio mazungumzo na malalamiko ya kwenye media, pesa zimeliwa tafuta walaji washitakiwe kisha wafilisiwe hapo ndipo tutasema sasa kuna mabadiliko na sio hizi kauli za kubadili majina ya vitengo na kuwa na kauli mbiu mpya ambazo kimsingi hazimsaidii mwananchi
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,267
  Likes Received: 19,407
  Trophy Points: 280
  kitu ni kile kile
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  kitengo hicho ni vuvuzela plus hakina tofauti na maigizo ya TOT+ na mashairi ya Tambalizeni
  waliomo bila kujijua wanatumika kutoa mipasho badala ya kuimarisha chama..mwishowe wanabwagwa...mapuri? Hiza? Chiligati?..Nape...
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi naona hicho kitengo kilikuwa kimekaa kimipasho zaidi
   
 6. M'bongo

  M'bongo Senior Member

  #6
  May 20, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sidhani kama wazo la kufuta kitengo hicho na kuanzisha kingine ni wazo baya, tatizo ni nani atasimamia? Kama ni watu aina ya kina Tambwe Hizza itaakuwa ni vuvuzela plus plus.
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Hamna kitu hapo,mfa maji haishi kutapatapa.Vuvuzela lile lile.Kwishney.
   
 8. escober

  escober JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  same shit now and again
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,356
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo nape kakoma kuwaongelea cdm kwenye mikusanyiko yao ya kipuuzi??dogo anajitahidi tu hivyohivyo kupanda majukwaani lakini kimsingi nguvu zimeshamuishia,usichokoze moto wa chadema dogo,wakubwa wako wamenyamaza ulidhani wajinga!!umempigia simu kumlamba miguu jeetu patel leo asubuhi au ndio umeshapata visenti vya posho ya kuzunguka kupiga vuvuzela umemsahau bosi wako aliyeiba fedha za EPA na kukumegea kidogo...hivi nape kwa nini unapokea posho mbili??si mkuu wa wilaya wewe,..sheria ya maadili ya utumishi wa umma ipo wazi,..acha kazi utumishi wa umma uendelee na chama...
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Kumbe tunayoandika hapa yanafanyiwa kazi! niliwahi kuwashauri ccm kuhusu jambo hili hapa hapa JF, ANAEKUMBUKA ILE THREAD AIWEKE HAPA.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Inaelekea hawa watu wanasoma sana maoni ya humu jamvini. Si hivi majuzi tu tuliponda kuwepo kwa kitengo kinachoitwa 'Propaganda'?
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,959
  Trophy Points: 280
  Wanakifuta baada ya kuimarisha vitengo vinginge vya propaganda kwenye TBCs na HabariLeo.
   
 13. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CCM ijifute kwanza
   
 14. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Nape kaamua kuvunja vunja nguvu ya Makamba mstaafu, kwani ukiongelea kufuta kitengo cha Propaganda unagusa kuwekwa kando kwa Tambwe Hiza na Shaibu Akwilombe
   
 15. J

  JERRY JF-Expert Member

  #15
  May 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 437
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Wao wafute tu............ila cdm mi nazani wakimweka nyaucho marando awe k/tibu mwenezi itakuwa mwaki sana.
   
 16. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wanataka kufanya mahusiano na umma upi? Umma wa wale mapacha watatu au?
   
 17. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo sio kua wanaondoa propaganda bali wanondoa neno propaganda kwa kua lina dhana mbaya!!
  wamekwisha.
   
 18. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,736
  Likes Received: 1,447
  Trophy Points: 280
  Waendelee hivyo hivyo kukosea. Maombi ya WaTz wengi ni kuwa mwongeze spidi ya kuanguka kwenu (CCM)
   
 19. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  ******...who they think they're fooling?

  james v jimmy (same sh...t)

  robert v bob (same sh...t)
   
 20. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wanaanzisha PROPER GAMBA?
   
Loading...