CCM kufuga Viongozi wanafiki na wasiofaa kama Diallo ni kufuga nyoka wenye sumu, wakati wowote wataleta madhara makubwa

Wewe acha uongo angemweleza ili apotee? Yeye mwenyewe alisema yeye anajiamini na hapangiwi na mtu na kwamba yeye ni jiwe sasa angeanzia wapi kumshauri mtu wa aina hiyo?
 
Bado akiwa hai, niliwahi kumwuliza mmoja wa maofisa wa juu wa vyombo vya usalama, kwa nini hawamshauri kwa mambo mengibaliyokuwa ameeleza kuwa yalikuwa yanaenda ovyo? Alinijibu, "unaweza kumshauri kichaa? Huyu bwana anaweza kukuua anaweza kukufunga, wala msidhani natania." Yawezekeana hiyo ndiyo sababu ya mtu yeyote kushindwa kumshauri marehemu.

Marehemu anaweza kusamehewa kwa sababu moja tu, alikuwa mgonjwa wa akili. Alitibiwa Mirembe na Ujerumani. Wenye makosa ni walio wazima, waliokuwa wanajua kabisa kwa asilimia 100 kuwa marehemu siyo mzima, halafu wakamkabidhi uongozi.
 
Back
Top Bottom